Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I was never a fan of his but sahihi angekua alisha
1728638346628.jpg
futa ETH kazi na akatuletea Benzema na kroos for the sales 🤣🤣
 
Van Basten:

"Erik ten Hag aliamua vipi kutumia €50M kwa ajili ya Ugarte? Inashangaza."

" nilihitaji michezo 2 pekee ili kuona kwamba hana thamani hata 25% ya kiasi hicho."

UTAPELI HAUTAKUJA KUISHA DUNIANI
20241004_230757.jpg
 
Mtukutu Paulo Di Kanio anajipanga kwenda mahakamani kumkamata Erik ten hag a Dutch David Moyes na viongozi wengine wa manjesta
 

Attachments

  • 20241012_220147.jpg
    20241012_220147.jpg
    181.6 KB · Views: 19
Unaambiwa hii ndio Dream Team ya ETH ,humo wamejaa waliopita Eredivisie au wadachi ,

hapo hajapata injury kikosi kipo mkiani

Vipi kikianza kupata injuries first eleven

ETH mitano tena
20241011_212916.jpg
 
INEOS have axed Sir Alex Ferguson's multi-million-pound ambassadorial contract with #mufc.

The matter has been dealt with amicably, and he will remain a non-executive director at the club and be welcome to attend games.

@AdamCrafton_
 
INEOS wafanye yote, wajenge na uwanja ila tu wasimguse A Dutch David Moyes ETH

Tutapata wapi sajili kama hizi kutoka udachi kama akiondoka ETH?
View attachment 3125669
Huyu jamaa yetu tokea kufanyiwa hili tukio la kikatili nasikia hajarudi tena uwanjani, bado anauguza majeraha yake.
Kila nikikumbuka kuna Masingile wa mwanzo wa msimu ambae kazi yake kuropoka hovyo, halafu kuna Masingeli wa mwisho wa msimu ambae hua anajipiga Ban mwenyewe mechi 5 za mwisho kabla ya ligi kufikia tamati hua nabaki nacheka tu.
tapatalk_-64221143_414x410.jpg
 
Huyu jamaa yetu tokea kufanyiwa hili tukio la kikatili nasikia hajarudi tena uwanjani, bado anauguza majeraha yake.
Kila nikikumbuka kuna Masingile wa mwanzo wa msimu ambae kazi yake kuropoka hovyo, halafu kuna Masingeli wa mwisho wa msimu ambae hua anajipiga Ban mwenyewe mechi 5 za mwisho kabla ya ligi kufikia tamati hua nabaki nacheka tu. View attachment 3128752
Wewe kenge ,huyu anacheza kila mechi

Unataka kusema umesusa kabisa kufatilia boli siku hizi

ETH aongezewe muda 😂😂
 
Back
Top Bottom