Mkuu,ni wewe kweli!!Imebidi nije nimekumbuka vituko vyako
Leo mshinde nipo na nyie
ETH mitano tena
🤣🤣🤣Ona mmeweka utabiri sawaImebidi nije nimekumbuka vituko vyako
Leo mshinde nipo na nyie
ETH mitano tena
Nyumbu hawana furaha mpiga spana maarufu ndio anaingiaZakazakazi nae hajaanza ?
7+3hag Anaitaka ile £17m kwa lazima ,Tena ikiwa kamili
Kama kawa...Huyu mjinga Ten Hag yale makapi yake yote kagundua yanamlostisha kayaweka benchi kairudisha ile Man U aliyoikuta kabla hajaleta makapi yake.Mwanetu mnatoboa leo?
Chelkenge ananyooshwa hukoKama kawa...Huyu mjinga Ten Hag yale makapi yake yote kagundua yanamlostisha kayaweka benchi kairudisha ile Man U aliyoikuta kabla hajaleta makapi yake.
Au abadilishiwe majukumu?Huyu hapa Erik Ten Hag akiwa na mke wake na mtoto wake. Kabla hujasema #TEN HAG OUT fikiria kwanza, familia yake.
Tunawashauri muwe na subira na mshikamano katika kipindi hiki cha mpito.
Wabadu wakatabahu fakiri, nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu, shabiki lia LIA wa Mwanitesa YunaitediView attachment 3110791
Alafu Dalot ana upiga mwingi mshahara mkia wa mbuzi ndio maana muda wote kanunaAu abadilishiwe majukumu?
View attachment 3117053