ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,991
Wewe msimu uliisha huna chochote ungeendelea tu kufunga bakuli lako CastrErik anakwambia
Subirini, msimu uliopita niliwaambia subirini hadi mwisho wa msimu. Si mmeona tukapata kombe?
Kinachoniacha hoi hilo kombe Arsenal tulilivyolibinafsisha wakadai halina umuhimu. Leo Erik Kichwa Ngumu kazi yake ni kulihubiri hilo kombe kila akiulizwa kwanini performance mbaya 😅
Nikiwa kama shabiki wa Arsenal nasema Erik aendelee.