mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Kama mashabiki wa arsenal, Ten hag bado tunamuhitaji SanaErik anakwambia
Subirini, msimu uliopita niliwaambia subirini hadi mwisho wa msimu. Si mmeona tukapata kombe?
Kinachoniacha hoi hilo kombe Arsenal tulilivyolibinafsisha wakadai halina umuhimu. Leo Erik Kichwa Ngumu kazi yake ni kulihubiri hilo kombe kila akiulizwa kwanini performance mbaya [emoji28]
Nikiwa kama shabiki wa Arsenal nasema Erik aendelee.