Manchester United (Red Devils) | Special Thread

GYUY54EXMAAiZqf.jpeg

Kuanzia leo, ntakua napita humu kusoma comment zenu tu, maana timu naipenda ila yenyewe haipendi afya yangu ya akili na moyo.

Wale wa ten hag out thumb 👍
Wale wa tunaimani na kocha pia 👍

#tukonayompakaituue✈️
 
Niliangalia man u dhidi ya liverpool na leo dhidi ya Spurs, naona kuna shida ya Character na mentality kuliko tactical intent.

confidence hamna kwa wachezaji, kitu kinachoharibu hata mawasiliano uwanjani, mpira unapotea wachezaji wakitegeana maana kila mmoja anadhani mwenziye ataufuata. mfano game ya leo Rashford na dalot na huku kwa mazraoui na Garnacho ilitokea incidence kama hii

Wachezaji wanasubiri mpira ufike mguuni, nakubali kuna wale 'on to feet players' kama Bernado silva ila ni muhimu kuzingatia intense ya wapinzani off ball kabla hujasubiri mpira ufike mguuni, hii tabia anayo Rashford na Zirkzee. Madhara ya kusubiri mpira mguuni dhidi ya timu kama liverpool & spurs ni kujikuta mna transit phases every time and then.

Commitment ndio tatizo kubwa, casemiro, ugarte, de ligt hata da lot kuna muda wanakosea kupiga pasi, wengine hawataki kutract back opposition's offensive transition, wanadhani sio jukumu lao, wanakuwa overloaded in their box na kuruhusu magoli kirahisi. kuna clip Fabian hurzeler anawafundisha Brighton umuhimu wa kuwa pamoja togetherness na kuyabeba makosa ya teammates, Man u hawafanyi hivi.

Luxury players, kama ilivyokuwa kipindi cha Ole soskjaer, kina Ronaldo, pogba na bruno, leo hii pia wapo kina Rashford, Garnacho na Bruno, Zirkzee somehow anajitahidi off ball duties lakini sio kila mara naye namuongeza kwenye luxury players, hakuna timu inawezakuwa compact kama kuna wachezaji wengi wapo luxury, madhara yake ni makubwa kuliko unavyofikiri

Haya ni machahce niliyoyaona, sio ya kimbinu ila ni ya msingi fundamentals.
 
Kifupi tu timu hii INALAANA nguvu za kuandika Uzi Mrefu unatoa wapi?

Rashford anajiona sio mkabaji, jamaa yupo luxury sana, yule Johnson angeweza kufunga hat trick alikuwa free sana, dalot akimantain back four shape, Rashford anasubiri mpira mbele, anashindwa ku track back moves za huyu dogo anatamba tu kwenye zone yake.
 
Erik anasema chochote kinachotokea sasa alishakubaliana na uongozi kwamba atahitaji muda kujenga kikosi.

Hivyo anajua timu nzima, wachezaji mpaka uongozi na yeye wanaelewa kwanini matokeo yapo hivi.

Leo sijamsikia ile "Stick to the plan, bounce back"
 
Hivi karibia msimu wa 3 huu bado anatengeneza kikosi?Chelsea ilikuwa ya hovyo sasa hivi tunaona kila siku wanabadilika
 
Tofauti yetu na Man u pamoja ya kuwa tulifanya vibaya but tukaamua kusajili wachezaji wazuri na kumleta kocha sahihi
 
Kifupi tu timu hii INALAANA nguvu za kuandika Uzi Mrefu unatoa wapi?
Hii timu Mimi nishaacha kushabikia na kuangalia mechi zake toka Kitambo , siamini siku hizi sijui hata sijui Man U huwa inacheza lini nashangaa naona watu kwenye status na hata ikifungwa nipo fresh siumii na kuiwazia kama Zamani.

Kuishabikia Man U nikutafuta mateso ya kujitakia tu.
 
Huyu hapa Erik Ten Hag akiwa na mke wake na mtoto wake. Kabla hujasema #TEN HAG OUT fikiria kwanza, familia yake.

Tunawashauri muwe na subira na mshikamano katika kipindi hiki cha mpito.

Wabadu wakatabahu fakiri, nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu, shabiki lia LIA wa Mwanitesa Yunaitedi
20240930_080551.jpg
 
Back
Top Bottom