Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,800
- 13,757
Ndo mnaendeleo hayo dah.ila wakuu hata tukisema 10 hag aende nani atakae weza kuja kuinyanyua hii timu kwa sasa sokoni hakuna ni bora huyu huyu mwisho wa msimu anapata bahati hata ya carabao inatusaidia kwenda kuwacheka mahasimu wetu hasa arsenal maana kombe la kubwa ni nafasi ya 2 wazee wa taito kontendaz