Hiyo mechi ni ya kawaida kabisa, itakuwa ya Tatu kwenye hesabu.mechi ijayo unae livakuku kwaio kwenye hesabu zako ongeza mech 1 mbele
Hiyo mechi ni ya kawaida kabisa, itakuwa ya Tatu kwenye hesabu.mechi ijayo unae livakuku kwaio kwenye hesabu zako ongeza mech 1 mbele
Wiki ijayo mnakutana na Anne Slot ball🤠🤠...majirani mna kibarua kizito sana....TAfuteni wachezaji wa kueleweka...Kikubwa ninachoshukuru Dictator Masingeli ame resigned mwenyewe, laiti angukua bado yupo madarakani sijui siku ya leo hili jukwaa lingekua kwenye hali gani.
Baba Ubaya hana ubaya na mtu, Kipara piga kazi baba hii ligi ni nyepesi tu kuliko hata Eredivisie, wasikutishe hawa chawa pro-max 'Eras can come to an end'![]()
Huyu dogo ni fundi haswa, unafurahia kumuangalia jinsi anavyokatisha katikati ya msitu akiwa na mali yake mguuni.huyu jamaa ni hodari
View attachment 3078342
Hamis yupo twitter, muandiko wa yule jamaa wa twitter na jina lake vinashabihiana na muandiko wa hamis wa humu ndani.
Anausoma upepo, soon atatia maguu humu jf. Nawaambia mtaliona hili jukwaa chunguKikubwa ninachoshukuru Dictator Masingeli ame resigned mwenyewe, laiti angukua bado yupo madarakani sijui siku ya leo hili jukwaa lingekua kwenye hali gani.
Baba Ubaya hana ubaya na mtu, Kipara piga kazi baba hii ligi ni nyepesi tu kuliko hata Eredivisie, wasikutishe hawa chawa pro-max 'Eras can come to an end'![]()
Sasa Kitumieni kipindi hiki kunenepa, very soon atarudi hili jukwaa litakua lakeHamis yupo twitter, muandiko wa yule jamaa wa twitter na jina lake vinashabihiana na muandiko wa hamis wa humu ndani.

hao jamaa zenu hata uarabuni sidhani kama watahitajikaChilwell yupo sokoni nyumbu leteni pesa mashine ya kazi hiyo
Rahim Sterling mmoja ni sawa na Antony 30 haya yupo sokoni leteni pesa.
Acheni ubahili basi

Aisee huyu dogo anajua mnooo..Jana alitusumbua sana Arsenalhuyu jamaa ni hodari
View attachment 3078342