Kwani umeitwa huku au shoboVery unconvincing victory...
Yaani mme struggle utafikiri mlikuwa mnacheza na real madrid, nyie bado midtable position itawahusu tu na msimu huu.... poor manyumbu
Hamna hatua iliyopigwa hapo fulham ni vibonde sanaTatizo la United limebaki lile lie la finishing ila timu imepiga hatua kiubora. Shida ni watu kuiona Fulham ni timu ndogo ila msimu uliopita walisumbua sana hawa jamaa. Kitendo cha sisi kuwafanya warudi nyuma kwa wingi vile ni positive katika game ya kwanza ya msimu ukilinganisha na misimu iliyopita.
Casemiro amerudi kuwa sharp kama alivyoanza msimu na sisi, pressing ya timu ina pattern ya inayoeleweka na tumetibu tatizo la beki wa kulia kwa kiasi kikubwa. Tukikaza kwa hizi game 5 hadi 6 za mwanzo kwa kuokota points 3 tatu, tutakufaka kwa upweke pale juu ya msimamo wa ligi.
Tatizo letu la msingi bado ni Rashford kuaminiwa kuwa Big player siku za mbeleni wakati jamaa anaendelea kushuka kiwango daily.
Nilisoma naeNOUSSAIR MAZRAOUI
Banda Umiza anaitwa Mazarau .Ndio ni Mazarau kweli maana Mpira wa kileo anaucheza kwa Dharau .
Full Back ya Kupanda na Kushuka . Kilio chake Chakwanza kilikuwa ni Leiderdorp ,Uholanzi Kwa Wadachi .
FIRST OF MANY yani dhidi ya FULHAM ni mwanzo tu na Vita yakweli inakuja .Boss ni Eric Ten Hag lakini Manchester United ni Boss waukweli .
Clips zake za leo hii ukizionesha Tanga unapewa Mke , Usukumani wanakupa N'gombe mbili , Manyara Wanafanya Parade, Kigoma wanakupa Migebuka 50 ya bure alafu Uchagani wanakupa Hela za bure.
NOUSSAIR MAZRAOUI 🫡
Bado hatujasemaGreenwood ameihujumua Manchester United. Hivi vitu anavyofanya huko Ufaransa ni balaa.
Nilisikitika sana alivyoondokaGreenwood ameihujumua Manchester United. Hivi vitu anavyofanya huko Ufaransa ni balaa.
ShukraniPakua App hizi ule maishaView attachment 3072085