D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Ndoa ya kipara na Mctominay inapaswa kuvunjwa kwa lazima
tumecheza vizuri wap mzee kupress tu mtihani hapo bado hatujacheza hata na big 6Mmecheza vizuri. Ila tafuteni Kipa wa kueleweka na pia Kobe mauno auzwe sio mchezaji wa kupata namba hata Nottingham forest.
Nasisitiza tafuteni Kipa wa kueleweka. Msije Anfield na huyo kipa wenu
Vile AllyPipi na Masnichi wenzake wanavyochekea pembeni 🤗Ndo tumeanza msimu wakuu mambo bado ni yale yale mpira mbovu hatuwezi ku defend kupunguza magoli mpaka msimu unaisha GD ni (-) bado midfield mbovu huko mbele forward ndio usiseme
Umeielezea vizuri.Mipira ya kusimama.
Mipira ya kurudisha nyuma.
Mipira ya kutembea.
Mipira ya kuvizia vizia.
Ujinga mtupu.
Nakubaliana na wewe huwezi ukawa umenunua Striker then una muweka Bench anaanzisha sijui false 9#kiparaOut
msimu mpya ila nyumbu ni walewale😁😁😁😁😁😮💨😮💨🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁☺️🤣🤣😁😁😁😁😁☺️😅🤣😁😁😁😁😁🤣🤣🤣Nakubaliana na wewe huwezi ukawa umenunua Striker then una muweka Bench anaanzisha sijui false 9
Maisha bila unafki hayaendi kabisa, Wana Chelsea SC, Liverkuku, Arse8, Mwacity na klabu zingine ni full shangwe 😆😂Makubwa jinga sasa yameanza kujiuza tena msimu huu.