Tunasajili kwa ajili ya TEN HAG au tunasajili kwa sababu ya idea rasmi ya kiuchezaji haijalishi utofauti wa mwalimu?


Kikubwa wachezaji wake wote wa Ajax aliokua anawataka tayari tumempatia, msimu huu hatutaki vijisababu vya hovyohovyo. 


We Mwaisa nenda kapambane na kocha wako Amne Slope.Teseka united![]()



Mpk sasa mpira upo ila ufungaji badoKikubwa wachezaji wake wote wa Ajax aliokua anawataka tayari tumempatia, msimu huu hatutaki vijisababu vya hovyohovyo.
Uwanjani tunataka points3 pamoja na kuona mpira wa kueleweka, msimu ulioisha tulisimangwa sana na kina Masingeli na chawa zake kwa ule mpira wa papatu papatu.
Kitu kingine kwa upande wangu sijawahi kuona kocha anafanya Sub za hovyo kama Baba Ubaya, ikiwezekana suala la Sub ni bora amuachie tu Van Nestroy![]()