IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,805
- 7,258
Vita yako dhidi ya Onana sijui itakwisha lini.
🤣🤣
Vita yako dhidi ya Onana sijui itakwisha lini.
Sisi hatushindi kibahati....tunakudunda na mpira unachezewa...hata kipara kakiri...Sasa mjiandaeYan bado mna matumain hewaa... Angalia gemu za kipara alafu angalia za kwako 😂😂😂
Mje na kombe lenu la 3 phase tutawaonesha maajabu😂
Tusichaguliane matani. Likimtoka mtu limemtoka km ambavyo wewe linakutoka bila kujali limekaaje kwake.
Always. Peace first.Je tunaweza kuwa na matani bila kuwa na matusi?
Naendelea kusisitiza tafuteni kipa wa kuelewekaTafuteni kipa wa kueleweka
Sahihi kabisa. Ndiyo maana si vizuri kuitana majina ya kimatusi, lakini majina ya kiutani ni sawa. Ndiyo maana tunakubali kuitwa Asenyani na nyie tunawaita Chelkenge. Maneno na matusi ya nguoni si vizuri kutumia.Always. Peace first.
Binafsi naamini Eze ana kitu ila Olise sina cha kumtetea😀Crystal Palace hakuna mchezaji wa timu kubwa ukiwasajili imekula kwako.
Olise na Eze ni wachezaji wa kawaida sana angalia maamuzi yao mengi uwanjani ni faulty.
Na tukienda hovyo tutapigwa mnoOlise na Anthony hawana tofauti yoyote kiuchezaji.
Daah 😂Erik ten Hag: "We weren't good enough today, but Garnacho's goal at Arsenal back in September was not offside."View attachment 2983083