HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Anakuambia nyumbu ni timu inayocheza mpira wa kuburudisha halafu mandondocha ya humu unakuta yanajisifia. Wanaharamu punda kabisa
Burudani murua kabisa kwetu wanaLondon na ligi kwa ujumla
Anakuambia nyumbu ni timu inayocheza mpira wa kuburudisha halafu mandondocha ya humu unakuta yanajisifia. Wanaharamu punda kabisa
Hamna kujielezea.Chelkenge, Asenyani, Livakuku, Manyumbu ni sawa kiasi zaidi, yamekaa kiutani zaidi kuliko Asenyeto sijui livanyeto, chelk*nd* ambayo yamekaa kimatusi ya kijinga na kitoto...
Hamna kujielezea.
Haina kucheka na mukuda
na kwa mfano ikatokea city hata akadroo tuHapo bado una AseNYETO, Newcastle na Brighton alafu umalizie Man City
😀 😀Sasa Wenger Orphans mnaongea nini😂huu msimu mlichotupita nq mpira wenu mzuri ni sinia tuu na top four ..
Ninachoamini tunawazima rasmi kama Liverpool 😂😂😂kipala achukue la nne
😀 😀
siku hazigandi bro.kiapara hata achukue mara nane ila furaha
yetu ni kuja hapo ot kuwapiga mbele ya wake zenu
afu tunaondoka kibabe,tunadunda tu
Vita yako dhidi ya Onana sijui itakwisha lini.Mna timu nzuri. Sema tafuteni kipa wa kueleweka. Hamna kipa.