Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,501
- 5,436
Mkuu, back line ina Casemiro kama no 5, jana kaweka record ya kuzungushwa mara 8 in a single game, ina evans anasogelea miaka 40, una Wan Bissaka hajui hata ku turn yeye ni ma kwanja tu, una Dalot leo mzuri kesho anakushangaza, mbele yao una Ericksen kanenepeana kama Mwijaku, unamlaumu Onana? Mpe Pep Onana na footwork yake uone mabalaa.Naendelea kusisitiza tafuteni kipa wa kueleweka
Kuna watu wa kulaumu kwanza kabla hujamfikia Onana.