HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
😀 😀
siku hazigandi bro.kiapara hata achukue mara nane ila furaha
yetu ni kuja hapo ot kuwapiga mbele ya wake zenu
afu tunaondoka kibabe,tunadunda tu
Hawa nyumbu wanaongea kama jumapili ni mwakani kumbe hiyo hapo tu. Siku yao i karibu na kichapo chao watakipokea tu.