Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,987
- 31,231
Okay kwenye kabati mtaeka nini msimu huu mkitoa sinia na 3 phase😂😂😂Sisi hatushindi kibahati....tunakudunda na mpira unachezewa...hata kipara kakiri...Sasa mjiandae
Okay kwenye kabati mtaeka nini msimu huu mkitoa sinia na 3 phase😂😂😂Sisi hatushindi kibahati....tunakudunda na mpira unachezewa...hata kipara kakiri...Sasa mjiandae
Na matofali ya kuchoma usije na matokeo yako😃tutawashangazaKila siku tunaambiwa tusiende uwanjani na matokeo. Ila kwa hii Man Utd, ni ngumu kwa shabiki kutoenda na matokeo aisee. Sisi tunaiona wiki kwa nunge iko nje nje kabisa pale matofali ya kuchoma.
Yan huyu Varane wa pili atafunge sisi😃😂Picha za tarehe 12 Mei 2024 zimeanza kuvuja
View attachment 2983178
Hushindi hyo gameShida ya Arteta ana karoho fulani ka huruma...huwa akishaona mkono umetimia anaanza kutoa watu...ila j2 inatakiwa aache watu mpk mwsho ili tutoe demonstration moja matata sana
Sasa Wenger Orphans mnaongea nini😂huu msimu mlichotupita nq mpira wenu mzuri ni sinia tuu na top four ..
Ninachoamini tunawazima rasmi kama Liverpool 😂😂😂kipala achukue la nne
Ntakutafuta Gabriel Heinze 🤠🤠...msidhani Chelsea...West Ham kina Burnley mwenzie Sheffield kilichowatokea ni bahati mbaya....mjiandae vizuri...hatutaki lawama siku hyoHushindi hyo game
Nipo hapahapa mkuu siku hyo sina hakika kama utamaliza mpira dakika 90Ntakutafuta Gabriel Heinze 🤠🤠...msidhani Chelsea...West Ham kina Burnley mwenzie Sheffield kilichowatokea ni bahati mbaya....mjiandae vizuri...hatutaki lawama siku hyo
Pale ukimchukua unakula za uso.Na tukienda hovyo tutapigwa mno
Chaguo sahihi litategemea na namna mwalimu anavyotaka kucheza.RW/RWF/RM, Miaka ya karibuni imekuwa nafasi Muhimu sana kwenye timu hasa zinazoshambulia na Wide Players na Inverted Wingers. Arsenal wamekuja pata Balance Pitia SAKA, City imekuwa na Mahrez, Bernado, Sasa wanamtumia FODEN, Liver wana Salah,
Nje ya Hizi timu TOP 3 kuna majina Mengi. Forgotten Al Watani Selikavu na M Z A N Z I B A R I Wote naona Mpo na Mashaka na OLISSE.
Chaguo sahihi kwa UTD huu Upande linaweza kuwa lipi ili Kupata Balance?
Kuna timu za kutusumbua ila sio hawaa Arsenane😀Hujakosea kamanda, zipo timu za kutufunga ila sio arsenane !!
Ngoja tuone Uongozi mpya utakuja na niniPale ukimchukua unakula za uso.
Halieleweki ni winga, striker au AM.
Ukijilipua hapa lazima ule za uso.
Nangojea uamuzi wa Greenwood nadhani kama akilud hiyo hela ielekezwe sehemu nyingineRW/RWF/RM, Miaka ya karibuni imekuwa nafasi Muhimu sana kwenye timu hasa zinazoshambulia na Wide Players na Inverted Wingers. Arsenal wamekuja pata Balance Pitia SAKA, City imekuwa na Mahrez, Bernado, Sasa wanamtumia FODEN, Liver wana Salah,
Nje ya Hizi timu TOP 3 kuna majina Mengi. Forgotten Al Watani Selikavu na M Z A N Z I B A R I Wote naona Mpo na Mashaka na OLISSE.
Chaguo sahihi kwa UTD huu Upande linaweza kuwa lipi ili Kupata Balance?
I secondedTunahitaji kuwa wakatili kwenye maamuzi, sina kumbukumbu sahihi ila nakumbuka madrid na bayern munich walisimama na wachezaji wao mpaka dakika ya mwisho ya mashitaka (kesi ya benzema na ribery waliposhitakiwa kwa ubakaji)
Inashangaza sana kuona klabu inajizonga kwenye ishu ya mason greenwood haliyakuwa mahakama yenyewe imeamua kutokuendelea na kesi yake.
Mason greenwood ndio chaguo sahihi na la uhakika, kupokea euro millioni 25 kwa greenwood then ulipe paundi millioni 50 kwa Oliseh.
Hayo ni matumizi mabaya ya akili.
Hili pambano umeshinda.Na baado
sisi hatutafuti furaha bali furaha ndo inakuja yenyewe kwetuYan mnatafutiza furaha kwa mbinde sana... Polen nyie endeleeni na kombe lenu la 3 phase na inverted midfielder