Mkuu hakuna progress hata kidogo... Kila siku sasa anafanya nini CarringtonBado niko na ETH
hatuna wachezaji bana.
Uongozi mpya uingie
Acha tu mkuu nikienda spain Barcelona ndo kabisa nabakia kusema mpira haramu😃Huku Simba huku Man Utd kmmkView attachment 2962590
Utauona next season....sema jamaa ukimsikia anatia mashaka kiasiMkuu hakuna progress hata kidogo... Kila siku sasa anafanya nini Carrington
Kaka kwa sasa acha niwacheke Wenger Orphans tutaendelea baadaeUtauona next season....sema jamaa ukimsikia anatia mashaka kiasi
Arsenal bwana🤣1. Pambania ubingwa mpaka dakika za mwisho..
2. Cheza mpira mzuri
3. ubingwa achukue Liver/man city
Hatuwezi kuwalaumu. Ndiyo maisha mliyochagua.
Mechi ya Villa mnahesabia?Man u hiyo mechi yenu vs Arsenal hatuihesabii tutawapiga vzr tu, half time mechi itakuwa imeisha
Tunacheza mpira mbovu mpaka maamuzi ya refa tunayaona kama tunaonewahata wewe?
mpira mbovu..mbinu mbovu..mwamko na ari mbovu..akili za wachezaji mbovu..mfumo mbovu pia..Tunacheza mpira mbovu mpaka maamuzi ya refa tunayaona kama tunaonewa
To be honest ni manchester united peke yake ndio atazima fujo za manchester city EPL
Sio hawa arsenal na liverpool (too childish)
Kwenye mbio za ubingwa ukiwatoa manchester city huwa nawaheshimu sana Chelsea sio hawa liverpool na arsenal
Kwa hii March April nafasi walizokuwa nazo arsenal na liverpool yamkini angekuwa manchester united
Kwa 99% ubingwa angebeba manchester united pengine hata chelsea angebeba vizuri tu
...
Poor arsenal poor liverpool
Hii ilikuwa ferguson pekee anapiga hesabu hizi. Na akiwa dressing room anaweza vunja mtu ..ni upuuzi stricker unakuwa gorini na partner anakuwa kwenye nafasi eti unataka ushinde wewe. Fergi anakuua. David beckam muingereza maarufu alimbonda...akamuuza.mpira mbovu..mbinu mbovu..mwamko na ari mbovu..akili za wachezaji mbovu..mfumo mbovu pia..
unawezaje kumkamia Liverpool, Arsenal and Co..kupata matokeo kisha ukafungwa na Brentford??
katika mechi 38, ukifungwa na City iliyo bora 2, Liverpool iliyo bora 2, Arsenal iliyo bora 2, sawa na mechi 6.. zinabaki 32, weka draw 5, znabaki 27.. weka upset 2...zinabaki 25×3=75+5=80 pts..
hizi ni nafasi za juu kabisa..katika msimamo..ila sasa tunakamia Liver tunapigwa na Bournemouth...hakuna ujenzi wa timu wa hivi..
hakuna project ya kuanzia juu kisha uje chini..
tuendelee kusubiri..
Huyu anachukua nafasi ya nani.