999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 914
- 1,691
Mlichotufurahisha mmetoa sare na Liverpool, hizo timu nyingine mtajijua wenyewe
Imekuwa kama togwa la ngomani, kila mtu anadiba kisha anagida 🤣😂😂😂😂😂 Kila timu wanijipigia km mbwa koko
Imekuwa kama togwa la ngomani, kila mtu anadiba kisha anagida 🤣😂😂😂😂😂 Kila timu wanijipigia km mbwa koko
Bonge la straika hilo. Ukisema lolote la kumkosoa utashambuliwa na manyumbu.[emoji408][emoji1087]- Rasmus Hojlund hasn't ATTEMPTED a shot in the last FOUR Premier League games.
0 shots in 4 games.
Sina imani na wachezaji mpaka kocha
Makaveli ww mzaramo?? 😂😂😂😂Ime
Imekuwa kama togwa la ngomani, kila mtu anadiba kisha anagida 🤣😂😂
Nikiwa na MAGUIRE na KAMBWALA nina uhakika sana hapo nyuma.
Aahh.... Wapi. 😂🤣Makaveli ww mzaramo?? 😂😂😂😂
Mkuu hakuna progress hata kidogo... Kila siku sasa anafanya nini CarringtonBado niko na ETH
hatuna wachezaji bana.
Uongozi mpya uingie
Acha tu mkuu nikienda spain Barcelona ndo kabisa nabakia kusema mpira haramu😃Huku Simba huku Man Utd kmmkView attachment 2962590
Utauona next season....sema jamaa ukimsikia anatia mashaka kiasiMkuu hakuna progress hata kidogo... Kila siku sasa anafanya nini Carrington
Kaka kwa sasa acha niwacheke Wenger Orphans tutaendelea baadaeUtauona next season....sema jamaa ukimsikia anatia mashaka kiasi