Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

JamiiForums-176138174.jpg
 
Na mechi ikiisha hivi maana yake ni kwamba point 6 zote mtakuwa mmezigawa kwa Bournemouth,mechi ya kwanza OT waliwagonga 3 bila KENGE nyinyi
 
Daaaaaaah Kwa pira hili!!!! Yani hii timu imebaki kucheza ili kukamilisha ratiba tu. Yani unashindwa kuelewa ni mfumo upi ambao hii timu inacheza? Ni kucheza tu ilimladi kukamilisha dakika tisini za mchezo mchezo. Yani Leo hii timu kubwa kama hii yenye heshima duniani kucheza mpira wa aina hii?.
Sometimes unaweza kusema kwamba hakuna wachezaji na unavyofikilia zaidi unaona hakuna Kocha kabisaa. Sasa mpaka sasa plani ya hii timu ni nini?.
 
Back
Top Bottom