Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu hii ni hatari sana kushabikia hasa Kwa afya ya mwanadamu, ni hatari mno!. Unaweza kudhani kuwa wachezaji na benchi la ufundi wakitoka kucheza mechi wanakwenda kulala hawafanyi training tena Hadi mechi ijayo.
Ulikua akilini mwangu mkuu.. Nimeshabikia hii timu kwa muda wa dk 90 tu lakini hiyo presha niliyoipata, najiuliza mnaoshabikia siku zote mnaishije?

Timu inaacha mashimo kibao, kukaba kwenyewe kazi, wamejaa wachezaji mizigo timu nzima, angalau alipoingia Antony kajitahidi kidogo kukaba, otherwise timu yote ni mbovu.
 
Ulikua akilini mwangu mkuu.. Nimeshabikia hii timu kwa muda wa dk 90 tu lakini hiyo presha niliyoipata, najiuliza mnaoshabikia siku zote mnaishije?

Timu inaacha mashimo kibao, kukaba kwenyewe kazi, wamejaa wachezaji mizigo timu nzima, angalau alipoingia Antony kajitahidi kidogo kukaba, otherwise timu yote ni mbovu.
Pale hakuna timu, nimeangalia mechi nyingi za timu kama arsenal, real Madrid, B. Leverkusen kuliko hata timu yangu UTD, it's disgusting kabisa, wachezaji hawajitumi kabisa au ndo uwezo wao ulipoishia, pathetic...
 
Wqle wababe wenu jana tumewapangusa chuma tatu pale kwao...sasa nyie ambao mnacheza kwa kudra za Muumba mjiandae na mbinyo utakaosababisha Kipara Baba Ubaya alalqmike mechi ikiisha....kuwakazia Liver msijidanganye kabisa....haitakaa itokee mpate point ytte msimu huu kwetu🤠🤠🤠
Mkija Old Trafford mje na kombe la EPL mkononi bila hivyo siku hiyo itakuwa ya maumivu kwenu.
Am
 
Wajinga mmekaza bhana.
Hongereni aisee. Nilitegemea leo mpigwe si chini ya 4-0
Kuna shabiki wa Liver wiki ilopita nilimuambia weekend hii watatoka pale juu watake wasitake🤠🤠...wametoka bhana🤣🤣...sasa tunasubiri Everton na Aston villa waje kubutua sufuria la mboga sherehe iishie hapohapo....kuku kishingo hana sifa za ubingwa....labda kombe walivizie kule kwny chama cha soka waliibe wakkmbie nalo
 
Wqle wababe wenu jana tumewapangusa chuma tatu pale kwao...sasa nyie ambao mnacheza kwa kudra za Muumba mjiandae na mbinyo utakaosababisha Kipara Baba Ubaya alalqmike mechi ikiisha....kuwakazia Liver msijidanganye kabisa....haitakaa itokee mpate point ytte msimu huu kwetu

Am
unaota wew TENA WEW LAZIMA NIKUCHAPE ZA CHEMBA
 
Anafungia wapi kwa mfano...na nyny mnafungia wapi....kwnza nahangaika kuzungumziq mechi ya pili kutoka mwsho kumaliza ligi ya nn....wacha nilambe watu makonzi kwny hzi mechi zinazofata mpk nikikutqnq na nyny kono la nyani linakuwa activated
mzee acha kujichekesha city bigwa pole sana tukutane next season uzuri mnaweza kushika nafasi ya pili
 
B… Kama tulivyokubaliana nikiwa upande wenu lazima mshinde, leo fanyeni kweli nizuieni huyo Livakuku kunisogelea pale juu.
Mdakuzi
Sawa b..., leo tulifanya kazi kubwa, ila bahati haikuwa kwenye. Bila shaka wakati mwingine tutakamilisha.

Na taarifa njema zaidi ni kwamba msomi huu hatujapoteza mchezo dhidi ya Liverpool.

Ova
 
Nachukizwa sana na aina ya washambuliaji wasioweza kupiga chenga, kumiliki mpira, dribbling na mengineo.

Cha ajabu dunia ya leo washambuliaji aina hiyo wamekuwa wakiongezeka.


Nisingeweza
Vipaji halisi havizalishwi tena wachezaji wanaanza kufundishwa mifumo wakiwa watoto badala ya kucheza mpira.

Football in Europe is no longer art.
 
Huna huo ubavu...beki Kambwala unifunge...United mna mchezaji mmoja tu wa maana..Kobe Mauno sijui...hawa wengine ni vituko tu....mkicheza mnavyocheza hvi nakuhakikishia hutakaa upate on target hata moja
Naitunza hii post
 
Back
Top Bottom