Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,493
- 5,404
Ten Hag kuna muda unakosa hata cha kumtetea, hizi perfomance zake Rashford kila leo unabaki kushangaa anapata namba vipi na anacheza 90 zote day in day outIla huyu Rashford naye banah, anapoteza kila Mipira tu, Yani ukiangalia kiwango anachokionyesha na Mshahara pamoja na allowances ni vitu viwili tofauti ( Man U needs complete changes in order to re- bounce back).
