Maelezo mengi ya nini jamani? Just jibu basi. LolsZingatia hii ni mechi ya ngapi tunashinda mfululizo?
Ova
Ulitumia maneno 11 kuniuliza, nami nikatumia 8 kukujibu.Maelezo mengi ya nini jamani? Just jibu basi. Lols
Ukiona timu mpaka ujieleze sana kuna shida.
Lakini jibu lilikuwa na maneno mawili tu, kwanini utumie 24? Shida imeanzia hapo.Ulitumia maneno 11 kuniuliza, nami nikatumia 8 kukujibu.
Ova
1. Piga bao 2 za bahati nasibu chini ya dk 8.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii sasa ndio ile inaitwa kula kwa jasho wakati ndugu zetu Asenyo wenyewe ikitimia miezi 9 ya ligi huwa wanazaa kwa uchungu. View attachment 2908369
1. Pambania ubingwa mpaka dakika za mwisho..Piga
1. Piga bao 2 za bahati nasibu chini ya dk 8.
2. Paki basi.
3. Points 3
Hatuwezi kuwalaumu. Ndiyo maisha mliyochagua.
😀😀😀 ama kweli kila mmoja na maisha yake. Mwishowe sisi tunamaliza kwa huzuni, nyie mnamaliza kwa furaha halafu sisi ndiyo tunawaona nyie vichaa, kumbe kichini chini nyie mnatucheka sisi 😀😀😀1. Pambania ubingwa mpaka dakika za mwisho..
2. Cheza mpira mzuri
3. ubingwa achukue Liver/man city
Hatuwezi kuwalaumu. Ndiyo maisha mliyochagua.
Mkuu bado uko na hawa ndugu zetu au umeshahamia Brighton and Hove '5G' Albion mazima?Ila United ya EtH inashangaza na kufurahisha, kwenye BIG 6 ndiyo timu inayocheza mpira mbovu msimu wote huu ila points wanapita nazo.
Maisha ndo haya haya mkuu mpira ndo huu huu😀😀😀 ama kweli kila mmoja na maisha yake. Mwishowe sisi tunamaliza kwa huzuni, nyie mnamaliza kwa furaha halafu sisi ndiyo tunawaona nyie vichaa, kumbe kichini chini nyie mnatucheka sisi 😀😀😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mpaka maandiko ya Agano la kale yanaizungumzia Asenyo ni fungo la kukosa, vile tu nyie hua hamsomagi bible kwa umakini.[emoji3][emoji3][emoji3] ama kweli kila mmoja na maisha yake. Mwishowe sisi tunamaliza kwa huzuni, nyie mnamaliza kwa furaha halafu sisi ndiyo tunawaona nyie vichaa, kumbe kichini chini nyie mnatucheka sisi [emoji3][emoji3][emoji3]