Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,330
- 33,717
Man United wafanye kama wamesinzia Ten Hag atawapa EPL haraka kuliko Arsenal na Arteta wao.Hii ilikuwa ferguson pekee anapiga hesabu hizi. Na akiwa dressing room anaweza vunja mtu ..ni upuuzi stricker unakuwa gorini na partner anakuwa kwenye nafasi eti unataka ushinde wewe. Fergi anakuua. David beckam muingereza maarufu alimbonda...akamuuza.
Anagalieni mechi za fergie mjiliwaze kama mimi.
Timu na ubovu wote ule inaelekea final ya FA siyo kawaida.
Timu ikiharibika sana unahitaji uvumilivu sana na mpango wa muda mrefu kurudi kwenye form.