Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Jitahidi mboreshe GD, 31 games with GD of -1? Aibu
Tunawapigia hapo hapo kwenu na kuondoka na point 3 tuLivakuku hatoki
😄😄😄⚽⚽Tunawapigia hapo hapo kwenu na kuondoka na point 3 tu
Kwangu imeshakuwa ndio maisha yangu kuangalia mechi za manchester united.Siku hizi nakuwa muoga sana kuangalia mechi zetu
Mi wananikata stimu wanavyopoteza mechi kizembeKwangu imeshakuwa ndio maisha yangu kuangalia mechi za manchester united.
Labda nije nikose access ya kuangalia mechi.
wake up mkuu badirika li timu litakupa pressure hili.Kwangu imeshakuwa ndio maisha yangu kuangalia mechi za manchester united.
Labda nije nikose access ya kuangalia mechi.