Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Osama kaja kama kocha wa Man utd
20240405_060725.jpg
 
Timu hii ni hatari sana kushabikia hasa Kwa afya ya mwanadamu, ni hatari mno!. Unaweza kudhani kuwa wachezaji na benchi la ufundi wakitoka kucheza mechi wanakwenda kulala hawafanyi training tena Hadi mechi ijayo.
 
Ulikua akilini mwangu mkuu.. Nimeshabikia hii timu kwa muda wa dk 90 tu lakini hiyo presha niliyoipata, najiuliza mnaoshabikia siku zote mnaishije?

Timu inaacha mashimo kibao, kukaba kwenyewe kazi, wamejaa wachezaji mizigo timu nzima, angalau alipoingia Antony kajitahidi kidogo kukaba, otherwise timu yote ni mbovu.
 
Pale hakuna timu, nimeangalia mechi nyingi za timu kama arsenal, real Madrid, B. Leverkusen kuliko hata timu yangu UTD, it's disgusting kabisa, wachezaji hawajitumi kabisa au ndo uwezo wao ulipoishia, pathetic...
 
Wajinga mmekaza bhana.
Hongereni aisee. Nilitegemea leo mpigwe si chini ya 4-0
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni vile tu figisufigisu za marefa na VAR zao ndio zimetufikisha hapa tulipo, ila tusingekua tunadhulimiwa na waamuzi sasa hivi tungekua tunaongoza ligi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wqle wababe wenu jana tumewapangusa chuma tatu pale kwao...sasa nyie ambao mnacheza kwa kudra za Muumba mjiandae na mbinyo utakaosababisha Kipara Baba Ubaya alalqmike mechi ikiisha....kuwakazia Liver msijidanganye kabisa....haitakaa itokee mpate point ytte msimu huu kwetu🤠🤠🤠
Mkija Old Trafford mje na kombe la EPL mkononi bila hivyo siku hiyo itakuwa ya maumivu kwenu.
Am
 
Back
Top Bottom