Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,827
- 32,703
Hiyo siku hamtaamini uzuri mtakuja OT Man City alishantangaza ubingwa.Nyie mshakata tamaa au sio,![]()
Hiyo siku hamtaamini uzuri mtakuja OT Man City alishantangaza ubingwa.Nyie mshakata tamaa au sio,![]()
Sawa ,tuombe uzima tuHiyo siku hamtaamini uzuri mtakuja OT Man City alishantangaza ubingwa.
Uzima gani wakati ukipigwa huwa unakimbia jukwaani ?Sawa ,tuombe uzima tu
Manjesta bana ,unaongea utadhan una timu basi ya maanaUzima gani wakati ukipigwa huwa unakimbia jukwaani ?
Ukikosa ubingwa si hautaingia humu kuja kupiga kelele
Sasa ukikimbia tutakukutia wapi mzee au nikajage ofisini kwako.Manjesta bana ,unaongea utadhan una timu basi ya maana
Mm siongei mengi ,tupo hapa
Naimaliza mechi hapo OT ,half time
usi icount man utd out kirahisi hivo its football and sometimes lucky decides who is goin to walk out with 3 pointsManjesta bana ,unaongea utadhan una timu basi ya maana
Mm siongei mengi ,tupo hapa
Naimaliza mechi hapo OT ,half time