Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama wewe ni Kocha, kama Kuna kitu unatakiwa kuogopa ni kukutana na Manchester united (the red devils) huku wametoka kupoteza mechi iliyopita
Wachumba tu nyuie, leo mnakijolewa kama mlivyokojolewa juzi dakika za mwisho
Leo mnapigwa kimoja tu cha nguruwe
 
Hivi... nyie mkifungwa leo, maana yake si mmewahakikishia Arsenal, Livepool na Manchester City top 4? Wanakuwa na uhakika wa Champions League na wanabaki kupambania ubingwa tu?
 
Hivi... nyie mkifungwa leo, maana yake si mmewahakikishia Arsenal, Livepool na Manchester City top 4? Wanakuwa na uhakika wa Champions League na wanabaki kupambania ubingwa tu?
Mashabiki wote wa United leo dua zao ni kumuombea Livakuku aongoze ligi, halafu humu yamejazana mashabiki ya Arsenyau na Mamasita yanajifanya yana mapenzi makubwa na sisi.
Jamani hii vita yenu sisi haituhusu, hata maandiko yanasema ukimbariki Livakuku katika wakati mgumu kama huu basi na wewe pia unabarikiwa
 
Ni wale wale tena vijana wa Bwenyenye Sir Jim kosi ilo hapo watapigwa sana wale liverkuku.
20240407_153120.jpg
 
Back
Top Bottom