Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

man utd ni bora kwao wasiwepo top 5 maana naskia uefa msimu ujao epl wanapeleka team 5 sio 4 tena

kutokuwepo top 4 itawapa chance ya kutengeneza tena squad under pressure yakukuwa in much fixtures and abstaining several injuries na kupisha wakuu ( INEOS) wafanye usafi ndani ya team
from management players to staff and facilities authorities and
system hierarchy

man utd inahitaji kuondoa watumishi hewa wote kwanzia kwenye kikosi wabaki ma young kina garnacho amad maino mount holjlund bisaka dalot antony pengine na bruno ila waliobakia peleka on loan au uza
Hii hoja ya kwamba kikosi kitatengenezwa bila presha mlishaitumia na ikabackfire.

Msimu uliopita chelsea alileta hoja hiyo hiyo matokeo yake yupo nafasi ya 10.

Hizi projects ni failure. Haina haja kuendelea kutafuta visingizio.
 
Bora Rashford kaumia aingie Anthony kule kulia na garnacho aje kushoto
 
Mainooooooooo

Mtachagua wenyewe kama hili goli la Mainoo au la Bruno ni lipi litakuwa la msimu.
 
Back
Top Bottom