Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inasemekana Jurgen anamkimbia ETH pale EPL. ETH ameshamaliza era ya Jurgen kama alivyoahidi. Msimu ujao anaenda kumaliza era ya Pep tena.

BTW nisiwe na sala za kumsumbua Mwenyezi Mungu siku ya J2; ati nimuombe aisaidie Manure izuie hata sare ili tittle race iwe open, maana hii team kwa ilipofika hali yake ni dhohofu l'hali.
 
Nawahurumia tu liverpool hiyo weekend

Nampenda kocha wa liverpool ni very humble ila when it comes to Manchester United vs liverpool ni story tofauti

We will beat both Liverpool and arsenal
Kama ukimfunga Liverpool, basi tambua kwa mara nyingine tutatangazia ubingwa Old Trafford.
 
Screenshot_20240317-182406-1.jpg
 
Tusema ukweli zile peneti angepigiwa chelsea dunia nzima ingeongea kama ile ya dalot ni penati mech ya arsenal gabriel alimdaka kabisa hojlund haikuwa penati sasa ile ya dalot aaaa kituko aiseee ukija ya cucurela nye nye nye
 
Lazma muitaje Arsenal yani mpka kipigo cha jana nacho kimesababishwa na Arsenal..
 
Tusema ukweli zile peneti angepigiwa chelsea dunia nzima ingeongea kama ile ya dalot ni penati mech ya arsenal gabriel alimdaka kabisa hojlund haikuwa penati sasa ile ya dalot aaaa kituko aiseee ukija ya cucurela nye nye nye
Somtym muwe mnapgaga tu kimya ili tusijue kiwango cha ufikiri wako.
 
Leo umekubali enhee kuwa Seven hag ni tapeli

Tusema ukweli zile peneti angepigiwa chelsea dunia nzima ingeongea kama ile ya dalot ni penati mech ya arsenal gabriel alimdaka kabisa hojlund haikuwa penati sasa ile ya dalot aaaa kituko aiseee ukija ya cucurela nye nye nye
Dalot mwenyewe aliinama chini baada ya foul akijua kuwa kashachomesha wewe unakuja kutetea 😂😂
 
Back
Top Bottom