Nyepesi tu hiiMmeiona fixture yenu?View attachment 2953412
Wanetu wa "we don't play friendlies" Kutokea mtaa wa sitaMan United’s Lisandro Martinez and Victor Lindelof will be out of action for at least a month.
Muscle injuries for Argentinian and Swedish defenders who hope to return before the end of the current season.
Fernandes atafia uwanjani jamani hana mechi ndogo wala kubwa zote ndaniKikosi Cha Bwenyenye Sir Jim ichi hapa kikishuka kuwakabili vijana wa Bwenyenye Tody ichi hapa.
Watapigwa Sana wale 🤏[emoji38][emoji38]
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16]
My prediction
Chelsea 1 vs Manchester United 3View attachment 2953967
Kikosi Cha Bwenyenye Sir Jim ichi hapa kikishuka kuwakabili vijana wa Bwenyenye Tody ichi hapa.
Watapigwa Sana wale 🤏[emoji38][emoji38]
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16]
My prediction
Chelsea 1 vs Manchester United 3View attachment 2953967
MAISHA NAYABADILIKA SANA AISEE.Chelsea vs man utd ..
Hii game zamani ilikuwa na attention kubwa Sana ,ila siku hizi Ni kama burnely anacheza na southmptom [emoji23]...
Hakuna lengo lolote la kuangalia hii game ,...
Sio top title contenders
Sio top 4 contenders
Kiufupi Hakuna maana yeyote ya kuangalia hii game [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuota MpalakugendaPalmer anawachambua man u kama karanga.
Onana kaanzisha shambulizi vizuri sanaBrunoooooooooo 2-2
Sio kweli. Timu inaongoza ligi ngumu hivi unasemaje imechoka? Kwa taarifa yako timu ndogo zina nguvu sana sasa hivi, huwezi kuzifunga hizi timu ndogo kirahisi lazima utoke jasho.Liverpool ni timu dhaifu sana kwa kweli pamoja na ubovu wa manchester united hawana tofauti sana
Mchawi wa EPL ni Pep tu kwa Sasa, manchester city bila Pep ni wepesi sana
Mzee kloop kajichokea km alivyosema anaweza tena kiutani utani akamuachia Pep akabeba Epl