Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 47,742
- 114,318
Hakika mkuu 😂Hii ndio Man U sasa
Hakika mkuu 😂Hii ndio Man U sasa
Marehemu amefufukia kwenu 😂I can not believe what i see there
Kuweni na huruma jamani. Kuna watu wanaweza kujidhuru..Jumapili tunakuja wazee msikimbie![]()
🔵🔵🔵🔵🔵 📢📢📢📢Piga kelele kwa The blue’s 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pole Mkuu, vumilia tuu.It pain
Tulia iingie vzrHuu ni umazafaka sasa
Bado hujasema 😂Referee kabeti
Hii ndio Man U sasa
Mwanangu Flano hunaga baya.Ila jumapili kazeni basi maana mkifanya mchezo mnaweza kula wiki tenaJumapili zile 7 tulizopigwa msimu ulioisha Anfield zinaenda kurudiwa tena pale unyumbuni.
Hii timu Ubwanyenye kuanzia kwa wamiliki, kocha mpaka wachezaji.
Timu ikiongoza kwa goli moja tu wachezaji wanaona tayari maisha wameshayapatia.
Life style ya hii timu haina tofauti na life style ya ndugu zetu Wazaramo![]()
Magoli mawili penalti, goli la nne deflection tena kubwa, Onana ana makosa gani hapo? Labda goli la kwanza hakuweka juhudiTafuteni kipa wa kueleweka. Goli zote nne Onana kaunguza aisee. Anyway tukutane jumapili.
Kama kabeti ni kwa Nyumbu wa SerengetiReferee kabeti