Zaidi ya vinega 🤣🤣🤣🤣Hahaha hahaha man u kweli vinega


it's time nimekubali kuwa hatuna kocha haiwezekaniukawa una ongoza 3 the unabadilisha style yaku park bus unategemea nn hapo
plus Rashford ni very lazy kukaba ni kitu hajuagi
Tunawaomba sana j2 mpate hata draw...huu ulofa mloonesha leo hzi dk za nyongeza usijirudie tena....mmeniharibia usiku wangu pambafu sana


Jumapili zile 7 tulizopigwa msimu ulioisha Anfield zinaenda kurudiwa tena pale unyumbuni. 


Jumapili tunakuja wazee msikimbie![]()


Jumapili mtacheza wenyewe hatuingizi timu uwanjani.😂😂😂 Haya ameshapika nenda katoe vyombo ukaosheTen hag is cooking