GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Hakuna kocha pale.7hag anasema mechi aliidominate na alistahili kushinda
Aisee huyu kocha manjesta mlimtoa wapi ?
Binafsi nilihitaji mechi 5 tu kujua hapa hakuna kocha
Juzi Thomas Frank wa Brentford alimu outplay sana ,ilikuwa aibu ya mwaka
Brentford waliingia mara 85 kwenye box la manjesta kwa dk 90, means kila baada ya dk 1 mpinzani yupo kwenye box la manjesta
Ipo siku kabla msimu haujaisha mtapigwa kipigo cha mbwa mwizi
Jana Chelsea kapiga shots 28, on target 10
Ndani ya dk 1 kapata magoli mawili
Narudia kabla msimu haujaisha mtapigwa kipigo cha mbwa mwizi
View attachment 2954315
Alidominate utumbo, wachezaji hawawezi hata kumiliki mpira kwa dakkika tatu mfululizo.
