D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Matajiri wa Chelsea hawatakiwi kucheza kamari ya Mauricio Pochettino, ni bora walipe fidia kwa Brighton then wamchukue Roberto Di Zerbi. Naamini atakuwa na kazi nyepesi ya kufanya, chelsea wana kundi kubwa la wachezaji wanaojiweza kiufundi ndio maana licha ya ubovu wao bado wana uwezo wa kwenda jino kwa jino dhidi ya manchester city na hata liverpool.
sidhani kama matokeo dhidi ya timu hizo yalitokea kibahati mbaya, Mauricio Pochettino atawapotezea muda.
enzo, palmer, gusto, sterling, chukwuemeka, caicedo, lavia, james, colwill, nkunku (injury prone), mudryk hata madueke anaweza kuwa mchezaji wa hakiba.
Eneo wanalohitaji kulipa kipaombele ni mshambuliaji, mabeki wa kati na mlinzi wa kushoto.
Mawazo yangu.