uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,636
Nimesema dhaifu kwa kuziweka mizania moja na manchester city mkuu
Lkn niamini mimi liverpool kwenye mbio za ubingwa ni mdhaifu
Ni rahisi kuchukua ubingwa mkiwa mnakimbizana na liverpool kuliko lile timu la Pep
Lkn niamini mimi liverpool kwenye mbio za ubingwa ni mdhaifu
Ni rahisi kuchukua ubingwa mkiwa mnakimbizana na liverpool kuliko lile timu la Pep
Si
Sio kweli. Timu inaongoza ligi ngumu hivi unasemaje imechoka? Kwa taarifa yako timu ndogo zina nguvu sana sasa hivi, huwezi kuzifunga hizi timu ndogo kirahisi lazima utoke jasho.