Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki wa nyumbu mnaona Arsenal Liverpool Manchester City wanavyocheza football ️? Flano imagine unaangalia hizi team then angalia Manchester United mvayocheza inasikitisha
Alhamdulillah lakini matokea tunapata, Arsenyau ndie angekua anacheza kama tunavyocheza sisi nakuhakikishia kwenye msimamo wa ligi angekua kule chinichini kabisa pamoja na kina Burnley
 
Tatizo ni mfumo Mkuu..hili kashindwa..au ni uongozi wa mpira haupo Manchester United..

Liverpool jana hawakuwa na
Allison
Trent
Robbo(alitokea benchi)
Salah (alitokea benchi)
Konate
Jota

Ila watoto waliupiga sana sana..
Ikifika sehemu KDB anagomba, Bernado anapaniki, Foden anangoja Rebound basi mambo yalikua moto..

Kwetu mfumo haupo..
Still tuna viungo wa ulinzi wengi ambao wangeficha kabisa ubovu wa safu ya ulinzi..

Matokeo yake Lindelof akimbizane mwanzo mwisho..
Mwl pamoja na ubovu wa uendeshwaji ila na yeye hatoshi tu..

Van gal bana pasi hata kama ni za kurudi nyuma zilipigwa na kina fellaini..
Screenshot_20240312_231631_Chrome~2.jpg
Na wenzetu wanazidi kujijenga..kuwa na huyu jamaa ni njaa
 
Nimejikuta nawaza ilikuaje Flano amempa hamis jina la masingeli.

Teh teh teh
Huyu muhuni alimpachika Antony jina la Masebene, kelele zake zikawa nyingi humu kwenye jukwaa letu kama waimba singeli, basi kwa kua alimuita mwenzie Masebene na mimi nikaona jina la Masingeli litamfaa na yeye.
Ninachoshukuru jina la Masingeli limekubalika, hata Asaninyau wenzake sasa hivi nao pia wanamuita Masingeli na yeye pia hilo jina amelipokea kwa mikono miwili
 
Huyu muhuni alimpachika Antony jina la Masebene, kelele zake zikawa nyingi humu kwenye jukwaa letu kama vile waimba singeli, basi kwa kua alimuita mwenzie Masebene na mimi nikaona jina la Masingeli litamfaa na yeye.
Ninachoshukuru jina la Masingeli limekubalika, hata Asaninyau wenzake sasa hivi nao pia wanamuita Masingeli na yeye pia hilo jina amelipokea kwa mikono miwili
We jamaa bhana,, mzinguaji Sana sema mwanetu masingeli na wewe hamna baya wakuu
 
We jamaa bhana,, mzinguaji Sana sema mwanetu masingeli na wewe hamna baya wakuu
Mkuu mpira ni burudani na haya matani ndio yanaifanya hii burudani ya soccer inanoga zaidi, ingawa kuna wengine hii burudani wameichukulia serious sana mpaka inawatesa.
Ila Arsenyau kwa huu mwendo mnaoenda nao mnatukosesha amani mjue?
Sasa nyinyi mkichukua makombe sisi tutamtania nani?
 
Hatuna wachezaji.
Inabidi tusajili wachezaji 10 na kuacha wachezaji 11 msimu ujao.
Tatizo kwenye usajili ETH bado haaminiki.
Lakini uongozi mpya labda utatuvusha.
Hali ni mbaya.
Front line no chemistry, midfield upumbafu, backline uozo
Coaching staff, bado sijapata nguvu ya kuwalaumu, imagine tunazidiwa squad na aston villa, west ham.
Hata yeye ETG katupiga kwa Antony, Mount na Malacia sio wachezaji wa maana
 
Dah yaan mnaniita masingeri? Flano ana ujinga mwingi sana
Ila sijafikia ule ujinga wako wa kumuita Masebene winga wetu “The King of Dribble” mzee wa spin 360°.
Halafu sisi kama mashabiki wa Utd hatutaki kila saa kuja kumsimanga humu kocha wa boli, kocha la makombe (mrithi halali wa Pep Guardiola kwenye Epl) Le professor Sir Erik Ten Hag.
tapatalk_-582049224_512x539.jpg
 
Back
Top Bottom