Mtambo wa mabao huoMason anarejea anafaida ipi man united
Klopp ni kocha mdauLiverpool wanakosa wachezaji wao watano muhimu,
Kipara awe na aibu
Mtambo wa mabao huoView attachment 2933313


jamaa limekaa ki Hollywood Hollywood, lingekua ni liigizaji lingepiga pesa ndefu sana




Huyu muhuni alimpachika Antony jina la Masebene, kelele zake zikawa nyingi humu kwenye jukwaa letu kama waimba singeli, basi kwa kua alimuita mwenzie Masebene na mimi nikaona jina la Masingeli litamfaa na yeye. 


We jamaa bhana,, mzinguaji Sana sema mwanetu masingeli na wewe hamna baya wakuuHuyu muhuni alimpachika Antony jina la Masebene, kelele zake zikawa nyingi humu kwenye jukwaa letu kama vile waimba singeli, basi kwa kua alimuita mwenzie Masebene na mimi nikaona jina la Masingeli litamfaa na yeye.
Ninachoshukuru jina la Masingeli limekubalika, hata Asaninyau wenzake sasa hivi nao pia wanamuita Masingeli na yeye pia hilo jina amelipokea kwa mikono miwili![]()
We jamaa bhana,, mzinguaji Sana sema mwanetu masingeli na wewe hamna baya wakuu


Mkuu mpira ni burudani na haya matani ndio yanaifanya hii burudani ya soccer inanoga zaidi, ingawa kuna wengine hii burudani wameichukulia serious sana mpaka inawatesa. upumbafu
Hata yeye ETG katupiga kwa Antony, Mount na Malacia sio wachezaji wa maanaHatuna wachezaji.
Inabidi tusajili wachezaji 10 na kuacha wachezaji 11 msimu ujao.
Tatizo kwenye usajili ETH bado haaminiki.
Lakini uongozi mpya labda utatuvusha.
Hali ni mbaya.
Front line no chemistry, midfield upumbafu, backline uozo
Coaching staff, bado sijapata nguvu ya kuwalaumu, imagine tunazidiwa squad na aston villa, west ham.
Hapa Leo ntaungana na masingeliHivi ETH Bado yupo na mmeridhika nae kabisa?
Kocha kama ETH alitakiwa afukuzwe apigwe na viboko 12
Huwezi kulipwa mshahara mkubwa unafundisha timu haiwezi kupiga hata pas 5


Ila sijafikia ule ujinga wako wa kumuita Masebene winga wetu “The King of Dribble” mzee wa spin 360°. 🤣🤣🤣 hapo mwnywe ndg yetu Flano kiungo bamia neno "mrithi" umeongea huku unaogopaIla sijafikia ule ujinga wako wa kumuita Masebene winga wetu “The King of Dribble” mzee wa spin 360°.
Halafu sisi kama mashabiki wa Utd hatutaki kila saa kuja mkumsimanga humu kocha wa boli, kocha la makombe (mrithi halali wa Pep Guardiola kwenye Epl) Le professor Sir Erik Ten Hag. View attachment 2935898
Huyu muhuni alimpachika Antony jina la Masebene, kelele zake zikawa nyingi humu kwenye jukwaa letu kama waimba singeli, basi kwa kua alimuita mwenzie Masebene na mimi nikaona jina la Masingeli litamfaa na yeye.
Ninachoshukuru jina la Masingeli limekubalika, hata Asaninyau wenzake sasa hivi nao pia wanamuita Masingeli na yeye pia hilo jina amelipokea kwa mikono miwili![]()












