Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,361
- 33,778
Upana wa kikosiLiverpool wanakosa wachezaji wao watano muhimu,
Kipara awe na aibu
Upana wa kikosiLiverpool wanakosa wachezaji wao watano muhimu,
Kipara awe na aibu
Ushindi Man United wanapata ila hawana consistent.Ukiangalia hii mechi ya wenzetu City na Liverpool unashindwa kuelewa United inacheza mpira ili kutimiza lengo gani haswa!
Hupati ushindi, huchezi mpira wa kuvutia na wala hauoni dalili ya kuondoka na kikombe wala kimoja.
Huwezi tu ukawaamini wachezaji wa academy lazima wawe na quality hata sasa ameshatumia wachezaji wa academy watano msimu huu peke yake.Pamoja na hilo kocha a achangiwe kwa nn hawaamini watoto.wa academy eti anawatafuta saa hizi
Ligi ya Italy wachezaji wanatumia performance enhancers ndiyo maana hata wazee wanaweza kukimbia dakika 90 zote bila kuchoka.Inzaghi na Xabi wanazungumzwa sana na ni kwa Kustahili. Mwisho wa siku Pia wako Smart sana kwenye Sajili zao angalia Free Transfers zingine Dau dogo
Kuzungumzwa kwa Inzaghi na Xabi, Kunambeba Motta na Hoeness wa Stuttgart, Motta kila kitu kinajieleza, Ila Hoeness anaweza kuja kuwa Tatizo mbeleni. Stuttgart mwanzoni mwa Msimu wengi tuliona ni Fluke na yule Guirassy anaweka tu Rekodi.
Wale VFB Ni tatizo Jipya na Huyu Hoeness kafanya Maamuzi mazuri sana kubaki Pale. Mpira wake ni Mchanganyiko wa Possession + Transition, Nibakize Maneno ila ana uwezekano wa kuwa jina kubwa mno, Germany wana Walimu asee ila Tuchel HAPANA.. Stuttgart vs Bayer 04 nadhani ni Mechi bora za msimu Bundesliga, Alonso alikuwa haelewi {Ligi na ile ya DFB Pokal}. Mwisho wote wana timu Nzur za Uongozi.
Mourinho ameshinda ligi makombe mengi akiwa Madrid, Chelsea, Intermilan na Porto huyu siyo mwalimu mbaya.Manchester United toka aondoke Mzee Feg haijapata tena Mwl mzuri wa mpira..
Au ni uongozi hautaki mabadiliko..
Mechi ya jana kayi ya Liverpool na City imenifanya nione ukubwa wa tatizo la timu yetu..
Mpira unepigwa na viungo wawili wadogo tu hadi maestro KDB akafokeana na Mwl wake..
Utd walimlindia heshima bwana Erik kwa mtazamo wake wa kuichukulia poa EPL..
Na mwisho wa siku haiwezi tena..
Ni kweli majeruhi yamemkwamisha zaidi msimu huu..top 4 angeingia bila shida yeyote..
Ila ukweli uliowazi ile ligi kwake ni kubwa..
Erik Tan Hag hakuwa mwalimu mzuri sana kiulinzi tangu akiwa Ajax.Erik akiaminiwa atatuvusha?
Ni kweli kabisa Shaw na Licha ndio sababu ya kufanya hata Fulham wakamate dimba na Pereira??
To me Sidhani..
Anthony
Mount
Amrabat hawa Erik hakwepi lawama kwa vyovyote vile..
Hii imempunguzia Credit kubwa sana..
Nakubali Manchester United kuna matatizo makubwa sana huko juu..
Rashford nae Superstar...
Pale Madrid hata Kylian hatakuwa Superstar..japo ndie atakuwa ncha kwenye Mkuki..
Pound 400+ alizotumia walau tungekuwa na wachezaji wanne au watano wa maana wa kuanzia..
Ofcourse kafanya jambo Ajax na niwe mkweli sikuwatazama sana nje ya mechi zao chache..miaka yake miwili basi angeonesha njia tujue tunapoenda..
Tulipo kwa sasa hakupishani na alipotukuta..
Hebu fafanua tena maelezo yako kwa ushahidi kaka, hii ni February gap la points ni 14 na unasema man u ilikua kwenye raceUshindi Man United wanapata ila hawana consistent.
Solkajer alikosa ubingwa wa EPL 2020/2021 kwa kupata sare nyingi sana mwezi January na February.
Msimu huu Ten Hag amepoteza mwelekeo kwa kufungwa mechi nyingi zaidi.
Mechi sita tu kati ya kumi na moja alizopoteza angekuwa anaongoza ligi.
Injury nyingi na squad depth ndogo sana kimetuangusha sana yapo mapungufu ya mwalimu ila kikosi chetu ni kidogo sana ukilinganisha na timu zote za top ten.
I second you broI feel sorry for Ten Hag kama atafukuzwa itakuwa bahati mbaya sana kwake lakini siyo kocha mbaya.
Sanasana ameamin kuwa hii sio ligi lele mama makocha miamba kama pep na huy wa Liverpool sio mchezo..tatizo ni yeye mwenyewe....I second you bro
Ni suala la muda,Sanasana ameamin kuwa hii sio ligi lele mama makocha miamba kama pep na huy wa Liverpool sio mchezo..tatizo ni yeye mwenyewe....
Waxhezani ka.ma amana unaitumiaje. Alitakiwa mlezi pia. Kukosana na Ronald. Pogba. Sancho..kumuuza Fred nakadhalika ni kukosa uwezo wa kupambana na malezi.
Baada ya kukosana na pogba na Ronaldo alipaswa kulea watoto wa academy..
Kama alivyompata mainoo na ganacho alipaswa kumpata left back. Centa back right back hawa stricker watoto alipaswa sometimes kuwachanganya. Sasa utakaaje unamtegemea Evans. Mbona kambambwa anapambana poa tu
Na hili ni pungufu lake katika falsafa yake ya kufundisha mpira..ameshindwa kuiheshimu EPL..Erik Tan Hag hakuwa mwalimu mzuri sana kiulinzi tangu akiwa Ajax.
Lakini Squad yake ni mbovu sana kwa aina ya intensity ya ligi ilivyo kwa sasa.
Man United wamekuwa na fitness ndogo sana tangu msimu wa mwisho wa Ole na kwa sasa ni mwendelezo tu.
Baada ya kukosana na pogba na Ronaldo alipaswa kulea watoto wa academy.
Hivi nyumbu mna shida gani? Hamjui hata hesabu? Ten hug apo kwenye iyo list ya wachezaji 9 amesajili watatu tu, sasa iyo asilimia 80 umeitoa wapi?Ni suala la muda,
ROMA haikujengwa kwa siku moja
1. Hojlund
2. Garnacho
3. Martinez
4. Maino
5. Dalot
6. Onana
7. Bruno
8. Shaw
9. Rashford
Hawa wakiwa fit, united tunamiliki ball na %kushinda inakuwa juu na hiyo list 80% yeye ndio kasajili.
Style of playing ni transition football, hii style kwa sasa inataka rashford, garnacho, bruno, maino na hojlund wawe fit ndio utaona impact
Kwa kweli ETH bado yuko asubuhi kweny hii project plus kaikopy baada ya kutua united.
Kuhusu usajili jamaa support haikuwa super sababu club ilikuw sokoni, tulikuw tuna ungaunga plus management mbovu.
MIMI NIKO NA ETH, msimu tunatoboa top 4.
Msimu ujao ndio wa kumuuliza maswala magumu, na yeye alipofika aliahidi msimu wa tatu ndio aulizwe.
Puuzia nyama ya jirani zetu, sasa sisi tule tembele, tukisubri hii process ya ETH km itakubali au vinginevyo.
sio mbali ni next season tu ndio utaamua hatma yake na ni mwisho wa mkataba pia.
Tatizo ni mfumo Mkuu..hili kashindwa..au ni uongozi wa mpira haupo Manchester United..Sanasana ameamin kuwa hii sio ligi lele mama makocha miamba kama pep na huy wa Liverpool sio mchezo..tatizo ni yeye mwenyewe....
Waxhezani ka.ma amana unaitumiaje. Alitakiwa mlezi pia. Kukosana na Ronald. Pogba. Sancho..kumuuza Fred nakadhalika ni kukosa uwezo wa kupambana na malezi.
Baada ya kukosana na pogba na Ronaldo alipaswa kulea watoto wa academy..
Kama alivyompata mainoo na ganacho alipaswa kumpata left back. Centa back right back hawa stricker watoto alipaswa sometimes kuwachanganya. Sasa utakaaje unamtegemea Evans. Mbona kambambwa anapambana poa tu
Kama ten hug angekua elite/top manager asingebadili falsasa zake ila angekomaa nazoNi suala la muda,