Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilishasema 7HAG uwezo wake ni mdogo ,kuna watu wakanitusi ,

Erik 7 hag mwenyewe anasema performance Jana ni nzuri na inavutia

Kifupi jamaa alishaipata manjesta anayoitaka ,yaani ndio anataka incheze hivo sababu uwezo wake umeishia hapo

Anasema...

Tumecheza vizuri sana”
“Tulikuwa karibu kupata ushindi au sare hapa”

Erik 7 hag a Dutch David Moyes
Hatimae Masingeli kafufuka.
Ila bwana harusi si tulikubaliana hauta login Jf mpaka honeymoon ikiisha?
 
Mwalimu hana options kwenye benchi tutamtukana bure tu.

Fergusson wakati anazitesa Man City alikuwa na Rooney, Barbatov, Tevez, Ronaldo, Ferdinand, Vidic, Carrick, Anderson, Oshea, Neville, Fabio,Rafael, Jisung, Scholes, Giggs.

Hicho ndicho alichonacho Man City kwa sasa. Jana line up ilikuwa na wachezaji watano ambao huwa wanaanzia benchi na kwenye sub kulikuwa na watoto wa academy tu.

Hata klop na Pep hii squad asingeweza kupambana na squad kama Man City au Liverpool. Imagine Man City akiumia Rodri tu au De Bruyne wanaanza kupigwa na kila timu.

Kipara pamoja na mapungufu yake hana kikosi cha kupambana na Liverpool wala Man City tutamtukana bure.
Wakati anakuja na sajili zake za kina Antony, Malacia na Mount hakuona kuwa hawaendani nae? Tukiangalia hili angalia na sh ngap alipewa ya kusajili pia.
 
Nyi washkaji tafuteni mwalimu na wachezaji wa maana msimu ujao tuonyeshane makali.
20240304_114913.jpg
 
Hatuna wachezaji.
Inabidi tusajili wachezaji 10 na kuacha wachezaji 11 msimu ujao.
Tatizo kwenye usajili ETH bado haaminiki.
Lakini uongozi mpya labda utatuvusha.
Hali ni mbaya.
Front line no chemistry, midfield upumbafu, backline uozo
Coaching staff, bado sijapata nguvu ya kuwalaumu, imagine tunazidiwa squad na aston villa, west ham.
 
Wakati anakuja na sajili zake za kina Antony, Malacia na Mount hakuona kuwa hawaendani nae? Tukiangalia hili angalia na sh ngap alipewa ya kusajili pia.
Usajili huwa wanakosea makocha wote hata Ferguson alifanya blunder nyingi tu kwenye usajili Pep pia alifanya blunder nyingi kwenye usajili.

Erik anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana kuliko hata makocha wa Championship.

Ukiona kikosi chake kinachompa ushindi ana bahati sana vinginevyo angekuwa alishatimuliwa muda mrefu.

Klopp alitumia miaka mitano kupata kikosi imara wakati huo hata top four alikuwa haingii.

Arteta huu ni msimu wake wa sita misimu minne iliyopita alikuwa akiishia nafasi ya 8 au sita.

Erik ametoka kwenye ligi rahisi na anafanya kazi katika kikosi dhaifu kupita vikosi vyote vya epl ukiondoa SU.

Erik apewe wachezaji apewe na muda.

Wakati Ole anashika nafasi ya pili kwenye ligi midfield options alikuwa na Scot, Pogba, Matic, Bruno, Andre's Juan Mata, Lingard, Fred, mbele alikuwa na Martial, Rashford, Cavani, Greenwood, na Daniel James.

Sikatai mapungufu ya Erik ila tunamhukumu bila kujua mapungufu makubwa ya kikosi aliyonayo.

Zaidi ya wachezaji wake 14 wamekosa michezo ten plus msimu huu pekee.
 
Hatuna wachezaji.
Inabidi tusajili wachezaji 10 na kuacha wachezaji 11 msimu ujao.
Tatizo kwenye usajili ETH bado haaminiki.
Lakini uongozi mpya labda utatuvusha.
Hali ni mbaya.
Front line no chemistry, midfield upumbafu, backline uozo
Coaching staff, bado sijapata nguvu ya kuwalaumu, imagine tunazidiwa squad na aston villa, west ham.
Ole alikuwa kwenye mwelekeo mzuri kama wasingeharibu rebuild yake msimu wa mwisho.
 
Kuwaza kuwa tuna timu ya kuifunga Man city, hayo ni matumizi mabaya ya fikra.
Nashukuru sijapoteza muda wangu kwenda kuitazama hiyo mechi, na palipo kucha nilijisemea ngoja niingie Live score niangalie tumefungwa ngapi, na kweli tumechezea kichapo.

Nb. Kila mtu apambane na hali yake.
 
Usajili huwa wanakosea makocha wote hata Ferguson alifanya blunder nyingi tu kwenye usajili Pep pia alifanya blunder nyingi kwenye usajili.

Erik anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana kuliko hata makocha wa Championship.

Ukiona kikosi chake kinachompa ushindi ana bahati sana vinginevyo angekuwa alishatimuliwa muda mrefu.

Klopp alitumia miaka mitano kupata kikosi imara wakati huo hata top four alikuwa haingii.

Arteta huu ni msimu wake wa sita misimu minne iliyopita alikuwa akiishia nafasi ya 8 au sita.

Erik ametoka kwenye ligi rahisi na anafanya kazi katika kikosi dhaifu kupita vikosi vyote vya epl ukiondoa SU.

Erik apewe wachezaji apewe na muda.

Wakati Ole anashika nafasi ya pili kwenye ligi midfield options alikuwa na Scot, Pogba, Matic, Bruno, Andre's Juan Mata, Lingard, Fred, mbele alikuwa na Martial, Rashford, Cavani, Greenwood, na Daniel James.

Sikatai mapungufu ya Erik ila tunamhukumu bila kujua mapungufu makubwa ya kikosi aliyonayo.

Zaidi ya wachezaji wake 14 wamekosa michezo ten plus msimu huu pekee.
Mkuu, unekosea. Arteta huu ni mwaka wake wa nane, sio wa sita. Piga hesabu vizuri.
 
Back
Top Bottom