Ni suala la muda,
ROMA haikujengwa kwa siku moja
1. Hojlund
2. Garnacho
3. Martinez
4. Maino
5. Dalot
6. Onana
7. Bruno
8. Shaw
9. Rashford
Hawa wakiwa fit, united tunamiliki ball na %kushinda inakuwa juu na hiyo list 80% yeye ndio kasajili.
Style of playing ni transition football, hii style kwa sasa inataka rashford, garnacho, bruno, maino na hojlund wawe fit ndio utaona impact
Kwa kweli ETH bado yuko asubuhi kweny hii project plus kaikopy baada ya kutua united.
Kuhusu usajili jamaa support haikuwa super sababu club ilikuw sokoni, tulikuw tuna ungaunga plus management mbovu.
MIMI NIKO NA ETH, msimu tunatoboa top 4.
Msimu ujao ndio wa kumuuliza maswala magumu, na yeye alipofika aliahidi msimu wa tatu ndio aulizwe.
Puuzia nyama ya jirani zetu, sasa sisi tule tembele, tukisubri hii process ya ETH km itakubali au vinginevyo.
sio mbali ni next season tu ndio utaamua hatma yake na ni mwisho wa mkataba pia.
Sawa Mkuu..
Ila kama Manchester siku moja tutabeba ubingwa wa EPL
Rashford atakuwa mchezaji wa akiba
Bruno ni mixed
Mainoo Yes
Hojlund Yes(asiumie umie sana)
Lisandro Yes (asiumie umie pia)
Onana Yes (ame anza kuzoea) tunampa mda
Garnacho Mixed (apate Mwl asiechekelea utoto)
Transition football..
Ukweli sijui sana ni shabiki wa kawaida ila huu mpira ni mgumu na rahisi kwa wakati mmoja..
Ni rahisi ukiwa na watu dizaini ya kina Mbappe
Ni mgumu kama forward ni kina Rashford..
Mpira huu Mane na Salah waliucheza naikumbuka mechi ya AS Roma Anfield..
Nakumbuka pia mechi ya Arsenal vs Utd UCL semi final 2008
AC Milan vs Utd UCL semi final San Siro..
Sio mfumo rahisi kwa watu waliopo..
Na mpira unabadilika wakuu ya nini kujitesa??
Wataru Endo kijana mdogo wa kijapan navuruga plans zooote za Mr Kipara..
Kumbe hata sisi proper System Mainoo na Amrabat wangeweza kabisa kuwashika kina Fulham, Luton na Bournemouth??
Achilia mbali Eriksen, Casimiro na Tominay