Manchester United 1 -2 Liverpool HTLisirudi sasa maana hili ndio tatizo letu
Leo niko upande wa nyumbu maana hawa vishingo wanamdomo sana,haaaaa tangu lini nyumbu katishwa na jogoo bwana?Man U nipigie hawa watu tupunguze makelele mtaani.Umakini golini ndio kitu tunakosa... Tungekuwa tulishatupia hata 3
Leo utamsingizia tu Onana kama goal la pili ni ujinga wa brunoNiaminini mimi, hatuna kipa kabisa *****
Kipa kosa lake lipi pale?Niaminini mimi, hatuna kipa kabisa *****
🤣🤣🤣🤣 Rashford jeLeo utamsingizia tu Onana kama goal la pili ni ujinga wa bruno
NYUMBU NI NYUMBU tuMcTominaaaaaaaaaaaaay
1-0

Huyo anangojea pension za Ligue One🤣🤣🤣🤣 Rashford je
🤣Huyo anangojea pension za Ligue One