Unakwama wapi? Unaweza kujisajili wakati wowote wa msimu.Mbona inagoma kujisajili na kulog in au mpaka mwanzo wa msimu?
Tayariii nimefanikiwaUnakwama wapi? Unaweza kujisajili wakati wowote wa msimu.
Erik ten Hag : “I hate to say it but they were better today – especially their determination, passion and desire. They wanted to win more so they won."Mwaka
Mwaka wa kwanza akawaletea Anthony Masebene na mzee Casemiro mara Eriksen mara Babu Evans...hapana...hyu ameshaonesha dalili mbaya...ni mpiga dili na Hana uchungu na fedha za klabu....ila nafuu kwetu wapinzani maana huwa ana maneno ya changamsha genge na majigambo kwlikwli wakati uwanjani hakuna anacho deliver
Ameshajikatia tamaa anajua wachezaji ndio tatizo tena wale aliowakutaErik ten Hag : “I hate to say it but they were better today – especially their determination, passion and desire. They wanted to win more so they won."
Imeweka mchoro. uekezee unataka nani aelezee l? Unaandika upuuzMantiki ya kumuondoa de gea na kumleta onana ni ipi?
Ukisikia matumizi mabaya ya resources ndio haya.
View attachment 2929715
SijakuelewaImeweka mchoro. uekezee unataka nani aelezee l? Unaandika upuuz
Na mpira wetu kama wa dls😃 kwa kipa then mbeleTulichokuwa tunakikosa kwa de gea
View attachment 2929729