Ila somo tumeshapata nitlifanyia kaziHapa ndo unaona umuhimu wa spare.....
Natania mwayego
Asante mkuuSamehe na urudiane na aliye kukosea maana saa nyingine chanzo ni wewe sema ana shindwa kukueleza. Life is too short kuishi na maumivu milele . samehe uishi kama mfalme maana ukisamehe yeye uko aliko fukutoooo la motoooo,mawazo n.k si mchezoooo
pole mkuu mie hapa nna mwez nguo hazinitoshiKusahaulika anasahaulika ni kujiweka bize na mambo mengine japo kuwa itachukua muda kurudi ktk hali ya kawaida. Mfano Mimi nilishindwana na mwanamke nilikuwa naishi naye na nilifanikiwa kazaa naye mtoto mmoja lakini ilifika mahali nikawa najiuliza huyu binti ńi nilifamiana naye wapi yaani kwa mambo aliyokuwa ananifanyia. Na kadri siku zinavyozidi kwenda nguo zilianza kuwa kubwa kwangu yaani nasema hivi haya mambo ni mabaya kwani nilikuwa sitegemei kama yangenitokea hayo
aka kidumu, aka mchepuko, aka sponsor, aka back up, aka.................Hapa ndo unaona umuhimu wa spare.....
Natania mwayego
Tumia hela ulizokuwa unataka kumuonga, kujiburudisha. Nenda kwenye bonge la hotel, Pumzika. Tafuta sehemu nzuri (strategic) ambayo unaona watu wate ama wanaoingia au wanaofurahia maisha, kaa hapo. Agiza vyako huku kwa mbali ukitafakari yaliyokukuta. Mlinganishe aliyekumwaga, na hao waliopo hapo. Ukiona kuna wazuri weeeeeeeeeeeeeeengi kuliko yeye, mpuuzie uku ukijiaminisha kuwa kuna siku utampata bomba kulio yeye.habar za asubuh ndugu zangu, poleni na majukumu ya nchi ya viwanda.
kama kichwa cha habar kinavyosema je ni mambo gani hua unafanya unapokua lonely au kutendwa wadau tupeane maujuzi mimi binafsi hua nachanganyikiwa na siipendi kabisa hii hali natamani niache kabisa.