Mambo ya kufanya unapokua mpweke au broken heart

Mambo ya kufanya unapokua mpweke au broken heart

» Ukiwa broken heart, usitafute mtu wa kukufariji (rebound sex), kaa ujitafakari, tafakari yaliyopita na fanya maamuzi ya maisha yako ya mahusiano yajayo.

» Jaribu kutofanya maamuzi huku ukimkumbuka aliyekutenda, unashauriwa kutoingia kwenye mahusiano mengine katika kipindi hiki ili usifanye makosa.

» Jaribu pia kuweka kumbukumbu zako na ex wako mbali, lakini pia kama kuna mazuri mliyofanya pamoja sio vibaya kukumbuka coz unatakiwa kufahamu kuwa sio kila uhusiano unaishia kwenye ndoa(hasa kwa kizazi hiki)

» Jikite kwenye shughuli zako za kimaendeleo, weka mikakati binafsi, malengo na jinsi ya kuyafikia. Ukiwa busy na shughuli zako utasahau tu na mwishowe kuanza upya.

» Kuwa makini na one night stands, quickie etc hadi hapo moyo wako utakapokuwa tayari kuingia tena kwenye mahusiano.
nitajitahid kufanya hayo mkuu
 
Tumia muda mwingi katika kujishughulisha na kazi mbalimbali na kusoma riwaya mbalimbali
 
habar za asubuh ndugu zangu, poleni na majukumu ya nchi ya viwanda.
kama kichwa cha habar kinavyosema je ni mambo gani hua unafanya unapokua lonely au kutendwa wadau tupeane maujuzi mimi binafsi hua nachanganyikiwa na siipendi kabisa hii hali natamani niache kabisa.
Huwez kuepuka iyo hali, kuna mende wanakaba hadi penat
Kuna manzi anasumbua kinyama
 
Kwa maoni yangu ukiona umekuwa heart broken, fanya yafuatayo
-Amka asubuhi na mapema
-Ushughulishe mwili wako na mazoezi japo kidogo
-Vaa , pendeza
-Always weka smile kwenye uso wako as if nothing happened
-kula vizuri.
-Refresh kwa vitu unavyopenda
etc, Ishi ukiamini furaha ya moyo wako inapatikana kutoka kwako mwenyewe, love yourself first
 
Haya mapenzi nimeyavulia shati- mm nkiwa kwenye situation kama hiyo hizo mambo km kujkeep busy,kazi,marafiki movie etc huwa hazfanyi kazi, huwezi kuwa busy 24/7 itafika2 time utakuw idle hapo ndipo maumivu hurudi, kwa maoni yangu dawa pekee ni time "time heal" utaumia utaumia itafika tym maumivu yataisha yenyewe.
 
Kwa kweli![/QUOTE
Katembee baharini au kwenye bustani, angalia movies preferable comedy! Usijichanganye na marafiki au ndugu, watakuchosha tu! Soma vitabu vya dini ili uweze kuondoa nafsi yako kwenye reality, na u believe kwenye beyond powers! KIKUBWA NEVER GIVE UP NA AMTEGEMEAYE BINADAMU AMELAANIWA!
 
Back
Top Bottom