Fanya na ibaadaKwa maoni yangu ukiona umekuwa heart broken, fanya yafuatayo
-Amka asubuhi na mapema
-Ushughulishe mwili wako na mazoezi japo kidogo
-Vaa , pendeza
-Always weka smile kwenye uso wako as if nothing happened
-kula vizuri.
-Refresh kwa vitu unavyopenda
etc, Ishi ukiamini furaha ya moyo wako inapatikana kutoka kwako mwenyewe, love yourself first
TrueKwa maoni yangu ukiona umekuwa heart broken, fanya yafuatayo
-Amka asubuhi na mapema
-Ushughulishe mwili wako na mazoezi japo kidogo
-Vaa , pendeza
-Always weka smile kwenye uso wako as if nothing happened
-kula vizuri.
-Refresh kwa vitu unavyopenda
etc, Ishi ukiamini furaha ya moyo wako inapatikana kutoka kwako mwenyewe, love yourself first
Hii inamaanisha nini?Sorry namalizia shambani kulima tu ndio faraja ya upweke wangu
shukran sana.Tafuta kitu kinachokupa raha kama kufanya mazoezi, kusikiliza mziki, kusoma vitabu na vinginevyo.
Sawa mkuu ushauri mzuriAnza kuhudhuria kwenye mazoezi usiende beach pika chakula kizuri kama unaweza kula vizuri kunywa maji mengi nenda ibadani ila Haya yote yatapunguza tu kwa mda sio kuondoa kabisa usiwaoneshe watu kuwa umeumia ila usiache kujiambia kuwa umeumia
Hahahaa.. Heart breaks.. Sikujua kwamba kuna gym na jogging club jirani na nyumbani until...habar za asubuh ndugu zangu, poleni na majukumu ya nchi ya viwanda.
kama kichwa cha habar kinavyosema je ni mambo gani hua unafanya unapokua lonely au kutendwa wadau tupeane maujuzi mimi binafsi hua nachanganyikiwa na siipendi kabisa hii hali natamani niache kabisa.
Kwani wewe hujawahi kutendwa mkuu... ?Ngoja waliowahi kutendwa waje
Hapana sijawahiKwani wewe hujawahi kutendwa mkuu... ?
Ikiwa love story lazima utamkumbu alokutenda