Mambo ya kufanya unapokua mpweke au broken heart

broken-heart-546x410.jpg
 
Self pity is a poison! Usijionee huruma kabisa! Furahia maisha ukiwa mwenyewe! MUHIMU SANA, USIWEKE FURAHA YAKO YA MAISHA KWENYE MFUKO WA BINADAMU YEYOTE! ZINGATIA!
 
Swala la kujishughulisha na mambo ya maendeleo, kuangalia movie kusikiliza muziki etc. oops tumesahau kwenda kanisani (makanisa ya walokole wanavuna sana watu walio kwenye situation hii). All in all kila kitu kina muda tuwe wakweli kwa hili! Utafanya ufanyavyo miaka nayo inasonga na miaka ikizidi songa utajikuta umerudi tena pale pale kwenye upweke/msongo wa mawazo! Ni hivi kikubwa jipe muda kidogo mwaka mmoja mmoja na nusu inatosha kutafakari na kutambua wapi ulikosea maisha lazima yaendelee usijitenge endelea kufanya yanayoituliza moyo mfano kusoma vitabu, kusafiri na kutembelea sehemu mbalimbali kulima kufanya kazi kuhudhuria ibada (ni bora zaidi kuliko kusali mwenyewe kila siku) etc. Kutendwa ni matokeo ya two way street never one way street kwa maaana kwamba pande zote mbili zilichangia kufikia kutendwa au kutenda. Si swala la 50/50 lakini kwa namna moja au nyingine hata wewe uliyetendwa kuna mahali ulikosea. Ukijitambua tafuta wa kureplace maisha yaendelee.
 
Mku mm nikipata matatizo hayo ktk miaka ya 2004. Kilichonisaidia sana ni mazoezi na movi hasa prison break hii iliniondolea mambo mengi na kujifunza mpya
 
Back
Top Bottom