Mambo ya kufanya unapokua mpweke au broken heart

Jiepushe kukaa mwenyewe, jichanganye na watu hakika ndani ya mwezi tu utasahau
 
Tumia hela ulizokuwa unataka kumuonga, kujiburudisha. Nenda kwenye bonge la hotel, Pumzika. Tafuta sehemu nzuri (strategic) ambayo unaona watu wate ama wanaoingia au wanaofurahia maisha, kaa hapo. Agiza vyako huku kwa mbali ukitafakari yaliyokukuta. Mlinganishe aliyekumwaga, na hao waliopo hapo. Ukiona kuna wazuri weeeeeeeeeeeeeeengi kuliko yeye, mpuuzie uku ukijiaminisha kuwa kuna siku utampata bomba kulio yeye.
ushauri mzuri sana Yan nimechoka na haya majaribu
 
Back
Top Bottom