Mambo ya kufanya unapokua mpweke au broken heart

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,492
2,000
Habari za asubuhi ndugu zangu, poleni na majukumu ya nchi ya viwanda.
Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni mambo gani huwa unafanya unapokuwa lonely au kutendwa wadau tupeane maujuzi mimi binafsi huwa nachanganyikiwa na siipendi kabisa hii hali natamani niache kabisa.

» Ukiwa broken heart, usitafute mtu wa kukufariji (rebound sex), kaa ujitafakari, tafakari yaliyopita na fanya maamuzi ya maisha yako ya mahusiano yajayo.

» Jaribu kutofanya maamuzi huku ukimkumbuka aliyekutenda, unashauriwa kutoingia kwenye mahusiano mengine katika kipindi hiki ili usifanye makosa.

» Jaribu pia kuweka kumbukumbu zako na ex wako mbali, lakini pia kama kuna mazuri mliyofanya pamoja sio vibaya kukumbuka coz unatakiwa kufahamu kuwa sio kila uhusiano unaishia kwenye ndoa(hasa kwa kizazi hiki)

» Jikite kwenye shughuli zako za kimaendeleo, weka mikakati binafsi, malengo na jinsi ya kuyafikia. Ukiwa busy na shughuli zako utasahau tu na mwishowe kuanza upya.

» Kuwa makini na one night stands, quickie etc hadi hapo moyo wako utakapokuwa tayari kuingia tena kwenye mahusiano.
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
26,161

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom