Mambo ya harvard ,threesome na kadhalika..lol

Mambo ya harvard ,threesome na kadhalika..lol

Kwanza kwa wale wasiofahamu...hiki Chuo cha Harvard huwa kinatajwa kama
'the best in the world' au tuseme the best in America...baadhi ya waliosoma
hapo ni Obama,Bill Gates na wengineo..ma scientist wakubwa,wafanyabiashara wakubwa
wa dunia,marais wa Marekani weeengi tu the list is endless....

Sasa kuna utaratibu hapo chuoni ambapo wanafunzi huwa wanaandikisha club zao mbali mbali
ambazo zikishakuwa zinatambuliwa na chuo...uongoziwa chuo hutoa misaada inayohitajika
ikiwemo pesa za kusaidia shughuli za club hizo.......

Sasa mwanafunzi mmoja ameenda kuandikisha club yake ya wale
'wanaopenda strange sex' akiamini labda yuko peke kumbe wapo tele lol

hii imezua gumzo mno pande hizo...wengine wakipinga na wengine wakiona ni sawa

Nimejikuta na connect hilo na siku nilipoleta mada hapa nikataja 'threesome' na
na reaction yake kumbe huko Harvard washatangulia zaidi lol
threesome haipo kwenye hata list ya strange sex lol

Swali hapa je unafikiri watu wenye 'akili saana' au 'wasomi saana'
wanakuwa zaidi na appetite ya 'strange sex'??

Harvard Gives BDSM Sex Club Official Campus Recognition

Mkuu the Boss, almost kwenye campus zote za US student life saa nyingine ni balaa tupu. Watu wana-have fun na at the same time they work hard in their studies.
Kuna mambo mengi sana ya ajabu yanayoendelea esp. thursday, friday and saturday nights huko doms, etc. Niliwahi kwenda Cancun na Panama City Florida wakati wa spring break.....siwezi kuanika kila kitu hapa. Kinachonishangaza ni denti wa huku kuwa crazy lakini buku pia wanapiga kichizi na wako smart.
 
Mkuu the Boss, almost kwenye campus zote za US student life saa nyingine ni balaa tupu. Watu wana-have fun na at the same time they work hard in their studies.
Kuna mambo mengi sana ya ajabu yanayoendelea esp. thursday, friday and saturday nights huko doms, etc. Niliwahi kwenda Cancun na Panama City Florida wakati wa spring break.....siwezi kuanika kila kitu hapa. Kinachonishangaza ni denti wa huku kuwa crazy lakini buku pia wanapiga kichini na wako smart.

Sasa kwa nini ushindwe yaweka hapa?
hebu share basi aisee
 
... siyo uchoyo The Boss,
... tatizo ni kwamba sijapatiwa na stumai kupata jukwaa mahsusi kuweza kuyaandika yaliyoyangu!
... nikiandika hapa nasita sredi yako haitadumu hata sekunde 10, maana hata lile jukwaa la kule mwishoni halitoshelezi kuyasitiri.
... na sitaki kuleta uthubutu kwani kwaweza kuleteleza JF kuminywa jumlajumla!:smile:
holy raviolli!
Goose bumps, usifunguke mkuu. Achaga tu, missionery position ndo zinatufaa!
 
holy raviolli!
Goose bumps, usifunguke mkuu. Achaga tu, missionery position ndo zinatufaa!
you get "goose bumps" so easily madam. sioni cha ajabu hapa, everything is among consenting adults and haikinzani na masomo/responsibilities za chuo
 
Only what happens in Vegas stays in Vegas..
Cancun can be shared unless labda wewe ndio ulikuwa mhusika mkuu lol
Again, what happens in Cancun, stays in Cancun. Ukiyafukua na kutaka kuyajua yanayotokea Cancun kila spring break, basi hata congressmen and women watajiuzulu kesho. Kukupa hint, kaangalie "Girls Gone Wild" utapata japo basharaf
 
images
spring-break.jpg
4563783384_da994c5733.jpg
bilde
 
Kila mtu hapa duniani ni kichaa kinacho tfautisha ni degree ya huo ukichaa hata hao wana havard ni vichaa kama binadamu wengine
 
Very interesting topic kwenye suala zima la s-e-x..ila hizo threesome, 4some sihusudu kabisa!!
Hii inanikumbusha kitabu nilisoma kinaitwa ''50 shades of Grey'' kuhusu BDSM...na kuna jambo ningependa kuli-explore na partner wangu..I want him to be my Christian Grey for one night🙂)) he he he
 
Yah 50 shades of grey ni nyoko,nimekisoma holiday yaani nimekirudiarudia the writer was so so.....
Very interesting topic kwenye suala zima la s-e-x..ila hizo threesome, 4some sihusudu kabisa!!
Hii inanikumbusha kitabu nilisoma kinaitwa ''50 shades of Grey'' kuhusu BDSM...na kuna jambo ningependa kuli-explore na partner wangu..I want him to be my Christian Grey for one night🙂)) he he he
 
Very interesting topic kwenye suala zima la s-e-x..ila hizo threesome, 4some sihusudu kabisa!!
Hii inanikumbusha kitabu nilisoma kinaitwa ''50 shades of Grey'' kuhusu BDSM...na kuna jambo ningependa kuli-explore na partner wangu..I want him to be my Christian Grey for one night🙂)) he he he

Ndo inakuwaje hiyo? lol
 
Why u think so..?
Imewahi kukutokea?
Ulienda kwenye events kama hii ukawa bored?

I presume you are a grown ass man.

Now, spring break is for school kids and those who go to Cancun are mainly college kids who are between the ages of 18-21.

I don't know about you but I can't hang out with 18-21 year old kids anymore.

All they think about is party, get wasted, and get laid.

Meanwhile I got so much on my mind. I'm worried about this, that, and the third.

I just don't have anything in common with them anymore. I'm past that stage.
 
Back
Top Bottom