Mambo 6 muhimu ya kujiuliza unapomaliza mwaka 2023 na kukaribisha 2024

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Habari na Poleni na majukumu ya kilasiku.
Let go to the Box.
Kuna maswali ya sio pungua sita (6)ya kujiuliza.Ukipata majibu na kuyafanyia kazi basi Utafanya mwaka wa 2024 uwe mzuri kwako na wa Mafanikio.

TWENDE KAZI
1.What is the high light of the Past year
Umejaribu kuwaza maisha ulio ishi huu mwaka japo kwa juu juu.Sasa kabla huja jiandaa kupokea mwaka wa 2024 basi ulipaswa ukae pekeako utengeneze taswira ya jinsi ulivyo kuwa ukiishi kwa MIEZI YOTE 12.Kwa upande wangu ulikuwa mwaka ambao umeenda kasi sana na hata sijaweza kutimiza malengo yangu.

2.The hardest aspect to this year.
  • Health and Wellness
  • Your Caree School
  • Relationship Love and Friend ship
  • Fun and Happiness
  • Spiritual and Meeting.
Kwa mambo ambayo niliyotaja hapo juu unatakiwa utazamie ni jinsi gani ulivyo yaongoza katika kuuvuka huu mwaka.Je ulikuwa unagombana na mkeo/Mumeo.Vipi hali ya Afya yako inazidi kudorora kwa kiasi gani kutokana na umri jinsi unavyo kwenda.Hali ya kushiriki shughuli za Kijamii na

kadhalioka.Na mengine mengi.

3.What did you learn you self about this Year
Baada ya kufanya highlight ya maisha yako jinsi ulivyo kuwa unaishi, na kuchanganua vipengele kadhaa juu ya maisha yako unatakiwa ujiulize umejifunza nini kwa haya nilio ya pitia.
Mfano mimi nimejifunza umuhimu wa kushiriki shughuli za Kijamii.Na pia changamoto za Mahusiano zimenikuza sana kiakili.

4.Things to stop Next Year.
Baada ya kujifunza hiki na kile kwa kutafakari unapaswa kufahamu vitu gani hupaswi kurudia tena mwaka ujao 2024.
Binafsi sito taka kugusa tena Pombe Na kuepuka Night Out.
Hivyo unatakiwa kujiwekea malengo ya vitu gani vya kuacha kurudia makoSa ya mwaka wa 2024.

5.Jambo gani la kuhakikisha unaendeleza kulifanya mwaka unaofuata (2024).
Katika kipindi chote cha mwaka uliopo kuna vitu ambavyo vilikuwa ni vizuri.Basi unapswa kuvijua na kuviendeleza.
Binafsi nlikuwa napenda sana kusoma vitabu hasa kile kipindi cha changomoto katika mahusiano yangu.Hii tabia ilinisaidia sana.Hivyo nitazidisha juhudi sana kwa huu mwaka.

6.What is the best to Acomplish this year
Mwisho lazima utambue ni jambo gani kubwa kuhakikisha kwa hu mwaka una litimiza ukiachana na mambo yote madogo madogo yalio pita.
Binafsi huu mwaka natamani sana nihakikishe na Fungua Campuni yangu isio pungua wafanya kazi 10.

Mwishio
kila member wa hii Club yetu pendwa ya Jamii forum anapaswa kupitia kwa kidogo tuu haya machache nilio orodhesha.
 
Asante kwa Bandiko Mkuu.

UMEANDIKA VITU VYA MSINGI SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
no. 5 tu. ndo nimeelewa vzr kwa vile ni kiswahili tupu! huko kwingine ni kiswa/kinge sijaelewa vzr.. sisi tuliosomea Quba tunajua kiswahili tu tusaidie mkuu
 
Back
Top Bottom