Mambo ya harvard ,threesome na kadhalika..lol

Utashangazwa na mengi shemeji...........
Enzi zetu sie TV tulikuwa tunaiskia tu kwa wale waliowahi kutoka nje ya nchi, lakini siku hizi si TV tena tumeshapita huko dunia imekuwa kusanywa kiganjani na teknolojia, hata ukitaka kujua Rais Obama wa Marekani alikula nini jana waweza jua, seuzi hizo mitikasi za ngono na mbwembwe zake...!

Mkuu sisi waafrica tukisikia haya tunashangaa mno
lakini na wazungu pia wanashangaa mtu 'kubaka kitoto sababu mganga wa kienyeji'
au kutembea na mganga wa kienyeji au hili la kutembea na mchungaji huku unafanyishwa maombi lol
wote binadaadamu ni wa ajabu ..
sisi tunawashangaa na wao wanatushangaa lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
see!
zamani nilikuwa na mtindo wa ajabu sana!kila nikimwangalia mtu mzima au mbabu babu hivi au mbibi nilikuwa naimagine hivi huyu huwa anafanyaga?anafanyaje?anakuwaje?
haoni aibu?
yani nilikuwa najiuliza maswali mengi kweli kichwani kwangu!
sasa ndo haya haya!tena usikute hao waheshimiwa wala hawakufanya labda kwa ajili ya nguvu za giza,
ni kwamba tht was wat they need kupata ridhiko!
kuliwahi kuwa na story moja hivi miaka kadhaa eti mbeya kuna mtu dhakari imebanwa na jiwe!
jiulize alikuwa anafanya nini!

exactly sababu hata rough sex zamani tulifikiri ni wazungu tu wanapenda
blowjob na chumvini ni wazungu tuu
sasa kumbe na waafrica wana appetite hizo..
nilisoma mahala kuna mdada wa ki tz yeye sex ili ai enjoy lazima
awe spanked makalio kwa nguvu hadi yatoe alama lol
unaweza fikiri ni utani....lol
 
Ni rahisi kushangaa ya wenzetu lakini na sisi kama ulivyosema tuna yetu ya ajabu ajabu sana. Ingawaje yanafanywa na baadhi ya Waafrika lakini yanastaajabisha sana. Hata weusi katika nchi za wenzetu zamani walikuwa wakisema haya mambo "yanafanywa na wazungu" lakini siku hizi nao wamo kama kazi. Jamaa mmoja alichangia katika mjadala huo na kudai kwamba miaka ya nyuma ulikuwa huwezi kumwambia mdada/njemba akuny**** kunako maana ilionekana ni dharau kubwa sana na mahusiano yaliweza hata kufa au mdada kupata mkong'oto wa kufa mtu lakini siku hizi wanajirusha kwa 3some na 4some tena ndani ya ndoa!!!

Mkuu sisi waafrica tukisikia haya tunashangaa mno
lakini na wazungu pia wanashangaa mtu 'kubaka kitoto sababu mganga wa kienyeji'
au kutembea na mganga wa kienyeji au hili la kutembea na mchungaji huku unafanyishwa maombi lol
wote binadaadamu ni wa ajabu ..
sisi tunawashangaa na wao wanatushangaa lol
 
exactly sababu hata rough sex zamani tulifikiri ni wazungu tu wanapenda
blowjob na chumvini ni wazungu tuu
sasa kumbe na waafrica wana appetite hizo..
nilisoma mahala kuna mdada wa ki tz yeye sex ili ai enjoy lazima
awe spanked makalio kwa nguvu hadi yatoe alama lol
unaweza fikiri ni utani....lol
imagine!
si ajabu kuna watu ili wafike maeneo mpka wakanyagwe na viatu vya mchuchumio migongoni oh!
 
Mbona hata hapa TZ ukipewa majina ya watu waheshimiwa
waliotembea na wanawake wachafu wenye matatizo ya akili waweza zimia kwa mshtuko lol

Zile party za wife swapping tulikuwa tunazisikia kwa wenzetu, hakuna aliyeamini kwamba itaja tokea siku jambo hilo lifanyike hapa kwetu, lakini siku hizi jambo hilo linafanyika ingawa haifanani sana na jinsi wanavyofanya wenzetu........

Siku hizi si ajabu kukuta marafiki wakitafuniana wake zao kila mmoja akijua kabisa kwamba anafafuniwa mkewe na rafikiye, lakini kwa sababu anamtafuna mke wa mwenzie wala haimuumi...........

Ajabu kabisa...........
 
Hii ndo iko so open siku hizi..
taboos zinavunjwa na sisi tunakuwa wazungu
huku tunajifanya tunawashangaa lol
 
imagine!
si ajabu kuna watu ili wafike maeneo mpka wakanyagwe na viatu vya mchuchumio migongoni oh!

Au eti mwanaume avalishwe nepi na kuwekewa poda
tena baba zima linafanyiwa hivyo na ka binti tu ndo aridhike
niliposikia haya yapo TZ nilibaki mdomo wazi lol
 
Ni rahisi kushangaa ya wenzetu lakini na sisi kama ulivyosema tuna yetu ya ajabu ajabu sana. Ingawaje yanafanywa na baadhi ya Waafrika lakini yanastaajabisha sana. Hata weusi katika nchi za wenzetu zamani walikuwa wakisema haya mambo "yanafanywa na wazungu" lakini siku hizi nao wamo kama kazi. Jamaa mmoja alichangia katika mjadala huo na kudai kwamba miaka ya nyuma ulikuwa huwezi kumwambia mdada/njemba akuny**** kunako maana ilionekana ni dharau kubwa sana na mahusiano yaliweza hata kufa au mdada kupata mkong'oto wa kufa mtu lakini siku hizi wanajirusha kwa 3some na 4some tena ndani ya ndoa!!!

Sasa mimi najiuliza..
tunaiga au ndo tuna discover our own tastes?
which is which?
 
Au eti mwanaume avalishwe nepi na kuwekewa poda
tena baba zima linafanyiwa hivyo na ka binti tu ndo aridhike
niliposikia haya yapo TZ nilibaki mdomo wazi lol
ahahahhahhhhhahahhahahhahhaha halafu likimaliza hapo linawekwa kifuani linanyonyeshwa!?
ahahahhahahhahha si ajabu linajinyea kabisaaa
chezeya raha za kijinsia wewe!uwiiih!
 
... mmmmh, hata ku-comment kwenye sredi hii nasita kwa kuogopa conflict of interests!
... may be I'm just too much into strange things....:glasses-nerdy:
 
One thing for sure..you are not alone...
ingawa waweza fikiri uko alone into strange things....lol
 
ahahahhahhhhhahahhahahhahhaha halafu likimaliza hapo linawekwa kifuani linanyonyeshwa!?
ahahahhahahhahha si ajabu linajinyea kabisaaa
chezeya raha za kijinsia wewe!uwiiih!

Umewahi valisha mtu nepi nini?
umenishtua kidogo na details lol
 
Mimi hapa kusema ukwe;li sijaona ajabu kwa hao wanafunzi wa Harvad....

Wanachofanya ni kuofficiate the obvious ambayo inafanywa sirini

Wangapi hawajaona Porn movies zinazohusu three somes and other 'strange' sex acts?
Havard wanataka waongoze kwenye kila kitu, hata mambo 'ya kijinga' kama haya lol
 
Umewahi valisha mtu nepi nini?
umenishtua kidogo na details lol

nini nepi!
wakati wengine wakiwa wanaenda huwa wanajiandaa kwenda na perfumes sijui udi,sijui kanga
mi nilikuwa naenda na baby wipes na S 26 kabisaa in case it is a sleep over case!
ahahahahhahahhahahahhahah pana chezeya mimi nikiamua kulea!
 
... it's called a 'moment of reckoning'.
... we're enlightened and now understand what we were missing from mother nature!:madgrin:

But wewe umekuwa mchoyo..
huja share kabisa hapa..ya kwako ...lol
 
Back
Top Bottom